Aaaaah hii kali, ila kwa ujumla wake tz sio maskini, hata huu mgao wa umeme/stima kama Wakenya wasemavyo huenda kuna njama, mnakumbuka kipindi fulani tanesco walisema tatizo ni maji, shelukindo alipofuatilia na kukuta maji mengi, wakasema mzee tatizo sio maji ni mitambo mibovu, labda kuna watu...