Mary Chitanda Bungeni

Duh hizi comment, kweli JF kiboko.........halafu wadada bwana yaani mwenzenu anachakachuliwa ujinsi wake na nyie mnashabikia halafu eti ooh tunataka haki.....hivi mko serious kweli??!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mary wa wapi tena huyu? Majani Mapana, Barbara ya 6, ya Tatu au ya tano? Nikumbushe basi.
 
Huyu ndio anayedaiwa kuwa chanzo cha kuvugika kwa taratibu za kuchagua meya huko Arusha.Wajumbe wa CDM hawakuafiki ushiriki wake kwa kuwa yeye ni mbunge kutoka Tanga.Pia ndiye aliyewaambia maaskofu wavue majoho... kuna threads hapa JF zenye detailed information kuhusu huyu dada.Unaweza kusearch prior posts kama hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nda-azua-tena-mvutano-ccm-chadema-arusha.html

Watu wengi walikuwa na hamu ya kuona picha yake kutokana na mkanganyiko mkubwa uliotokea kabla na baada ya sakata hilo lakini kwa kipindi hicho picha yake haikupatikana popote.

Kwa hiyo huyu ndio mchafuzi wa hali ya hewa! ona anavyokenua!
 
chatanda.jpg

Mrembo wa nguvu aisee
 
We bwana we, nini Mary huyo aliyesimama (ka katwa) MP Yusuph usingemkata, mbunge anapendeza machoni huyo, mashallah!
 
uenda akawa chakula ya wabunge wote wa ccm muone kwanza jinsi alivyo aende zake uko,
 
Nikimwangalia machoni watu hawa wanakuwa kama nyoka na pia kinyonga!ni wepesi sana kutumiwa na wengine kwa kuwa ni vigumu kuwagundua!!sifa kubwa ni wabishi hiyo ni kutokana na kutopenda kushitukiwa!!!
 
Kumbe ndo huyu? Anyways yuko natural ni mzuri lakini nikikumbuka alosababisha kule Arusha na maneno ya kashafa aloyatoa, sina hamu!
 
...she is just okay..looks a bit conservative..but with certain weakness...yes inaonekana yupo rigid na ana kaushamba fulani angalia mapete aliyovaa ya Gold lakini hayako classic.....amechonga kwa wale sonara wanaochanganya gold na copper...hilo cheni lake ndio la kishamba kabisa
My experiece with classic women..mh she will not be among them....hapo angetupia cheni moja ndogo lakini expensive..na wajanja hawazitundiki mbele kubwa vile kama mnyonyoro wa mbwa...
Pete kimberly classic....simple unavaa moja tu au mbili...
Angalia Gauni alovaa ..la dukani alafu la kichina....ni yale ya shilingi 25,000 wanaovaa kinamama wauza ndizi....ila kwa mshamba kama yeye watakuwa wamempiga 80,000[si wanaletewaga ofisini hawa?]
Kifupi hajajanjaruka na inaonekana she is just following what she is told to do ...sio rahiisi akawa na msimamo wake kama yeye....ila ni mzuri wa kusimamia anachoagizwa tu...like a robbot!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom