Elections 2010 Picha za uzinduzi wa Kampeni ya CHADEMA

Michuzi anachanganya kitu kimoja kuwa waliohudhuria si wanachama wa CHADEMA tu.
Palikuwepo wengi wasio na vyama + wenye vyama vyao.
 
Michuzi anachanganya kitu kimoja kuwa waliohudhuria si wanachama wa CHADEMA tu.
Palikuwepo wengi wasio na vyama + wenye vyama vyao.

Kuweka Rekodi sawa! Huyu Si Michuzi Issa bali ni Michzi Jr, Issa Michuzi ana alergy na CHADEMA
 
Michuzi anachanganya kitu kimoja kuwa waliohudhuria si wanachama wa CHADEMA tu.
Palikuwepo wengi wasio na vyama + wenye vyama vyao.

Si Michuzi tu, hata magazeti yanaripoti kuwa waliohudhuria ni wanachama wa chama chenye mkutano wa kampeni. Ni makosa makubwa na kushindwa kuelewa kuwa huo ni mkutano wa kampeni kwa raia wote. Yawezekana hii ni mbinu ya CCM ili ionekane umati mkubwa ni wanachama wao ili kutimiza azma yao ya kuiba kura na ku-claim kuwa hata picha za kampeni zinaonesha kuwa wana wanachama wengi. Waandishi wa habari kuweni makini na mahiri!!
 
Kazi ipo, Mungu awe nasi!! Dalili ni nzuri.
Shida ni kujua na kuwa na uhakika kama hili kongo, wote wamejiandikisha?

Maana kuna waTZ wenzangu ambao bado ni wajinga linapokuja suala la kura. Maana na thamani yake hawaijui kabsa!!!

Motot ule ule. Go Sla...
 
Kati ya sababu zinazosababisha vurugu na opotevu wa amani ndani ya nchi ni pamoja na kuhusika kwa watangazaji wa redio au TV ya taifa kwa upendeleo kipindi cha uchaguzi ukizingatia kuwa uchaguzi ni wa vyama vyingi.

USHAURI KWA WAANDISHI WA HABARI HUSUSANI REDIO NA TV YA TAIFA TBC:


  • Kuweni makini na waandishi uchwara ambao wanaweza kuiweka Shirka mahali pagumu na likakosa mvuto kwa watazamaji walio wengi.
  • Kuweni makini na habari za kupendelea upande mmoja wa chama Tawala,mtaleta vurugu muda si mrefu.
  • Tido Mhando ni msomi amekaa nje anaelewa fika utaratibu wa redio ya taifa,ni kwa taifa lote.na vyama vyote vya upinzani.akijaribu kupindisha madhumuni ya kuwepo chombo hicho ataleta vurugu ambazo kuzizima itachukua maisha ya watu.tayari athari zimeshaanza kuonekana kule Jangwani.
  • Wananchi walio wengi wanaangalia TBC na kusikiliza redio TBC kwa sababu ni redio ya taifa na siyo redio ya CCM.Watanzania ni wa wamoja na hali yao inaanza kutofautiana kimapato kadri siku zinvyoongezeka.Kuna siku maajabu yatatokea na yatasababishwa na uchochezi wa vyombe vya habari hususani TBC.
Hayo ni mawazo yangu na utafiti wangu ndogo tuu,najiandaa kuandika makala ndefu sana inayohusu taarifa za habari hapa TANZANIA kipindi cha uchaguzi.
Nitaelezea Taarifa za habari Tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi uanze Tanzania.Safari hii hatutaki picha za vita kama zile za Mengi kwenye ITV.
 
Na huyu msomaji wa magazeti wa jambo tanzania ana upendleo wa wazi, anamumunya maneno kwenye taarifa za wapinzani si vizuri
 
Kazi ipo, Mungu awe nasi!! Dalili ni nzuri.
Shida ni kujua na kuwa na uhakika kama hili kongo, wote wamejiandikisha?

Maana kuna waTZ wenzangu ambao bado ni wajinga linapokuja suala la kura. Maana na thamani yake hawaijui kabsa!!!

Motot ule ule. Go Sla...

Mwaka huu uandikishaji ulikuwa wa kutisha na niyo maana ccm waliamua kufupisha uandikishaji DSM kwa sababu kulikuwa na uandikishaji wa vijana usio wa kawaida!
 
ni harakati tu hizo mkuu......karibu na wewe utusaidie kuiokoa tanzania japo maisha bora kwa kila sisi yanaonekana
Hivi kwa nini CHADEMA wanavaa hayo magwanda? Na yanauzwa wapi kama mtu anataka kuyanunua?
 
Kuna mtu anaitwa marine hassani ananiboa sana ....................hata anapohoji viongozi wa vyama vya upinzani anahoji kisisiemu zaizi.....najua nikisema hivi wakati hata kikwete anasoma jf basi atapata vile vyeo vya kuonewa huruma kama akina salva rweyemamu.........
kati ya sababu zinazosababisha vurugu na opotevu wa amani ndani ya nchi ni pamoja na kuhusika kwa watangazaji wa redio au tv ya taifa kwa upendeleo kipindi cha uchaguzi ukizingatia kuwa uchaguzi ni wa vyama vyingi.

ushauri kwa waandishi wa habari hususani redio na tv ya taifa tbc:


  • kuweni makini na waandishi uchwara ambao wanaweza kuiweka shirka mahali pagumu na likakosa mvuto kwa watazamaji walio wengi.
  • kuweni makini na habari za kupendelea upande mmoja wa chama tawala,mtaleta vurugu muda si mrefu.
  • tido mhando ni msomi amekaa nje anaelewa fika utaratibu wa redio ya taifa,ni kwa taifa lote.na vyama vyote vya upinzani.akijaribu kupindisha madhumuni ya kuwepo chombo hicho ataleta vurugu ambazo kuzizima itachukua maisha ya watu.tayari athari zimeshaanza kuonekana kule jangwani.
  • wananchi walio wengi wanaangalia tbc na kusikiliza redio tbc kwa sababu ni redio ya taifa na siyo redio ya ccm.watanzania ni wa wamoja na hali yao inaanza kutofautiana kimapato kadri siku zinvyoongezeka.kuna siku maajabu yatatokea na yatasababishwa na uchochezi wa vyombe vya habari hususani tbc.
hayo ni mawazo yangu na utafiti wangu ndogo tuu,najiandaa kuandika makala ndefu sana inayohusu taarifa za habari hapa tanzania kipindi cha uchaguzi.
Nitaelezea taarifa za habari tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi uanze tanzania.safari hii hatutaki picha za vita kama zile za mengi kwenye itv.
 
Mimi nashukuru kwa picha kwani sikubahatika kuona mkutanao na wale TBC waliharibu kwa makusudi..........km ilikuwa hivyo basi ilikuwa funika bovu..............
 
Nawapa Pongezi wana chadema huyu Marin kaufanya huu mchezo miaka mingi alipokua redio Zanzibar kila mikutano ya CUf ikioneshwa kwenye TV Zanzibar alikua kaifanya mchezo huo huo na mara nyengine kusingizia umeme ikiwa ni zamu ya upinzani kuoneshwa kwenye TV nafikiri atatia akili kwamba Bongo hakuna uami ami kama kule Zanzibar .
 
Si Michuzi tu, hata magazeti yanaripoti kuwa waliohudhuria ni wanachama wa chama chenye mkutano wa kampeni. Ni makosa makubwa na kushindwa kuelewa kuwa huo ni mkutano wa kampeni kwa raia wote. Yawezekana hii ni mbinu ya CCM ili ionekane umati mkubwa ni wanachama wao ili kutimiza azma yao ya kuiba kura na ku-claim kuwa hata picha za kampeni zinaonesha kuwa wana wanachama wengi. Waandishi wa habari kuweni makini na mahiri!!
Wakati mwingine tuwe waungwana, kusema umati mkuwa wa Chadema ni mbinu ya CCM haileti maana, je kujaa kwa mikutano ya CCM nayo ni mbinu ya wapinzani au hoja yako iko upande mmoja. Penye ukweli tuwe tunasema ukweli tuache upenzi wa kitoto.
 
Pole sana marine hassan marine.
Bosi kumwamru kukata matangazo, sio kosa lake jamani.
C.c.m inatumia ubabe,
mmesikia kauli mbiu ya ccm ''ushindi ni lazima". Means that hata kama wakishindwa watanyakua kwa nguvu.
Mungu atuepushe na balaa hili la ccm
vote for change 31 october, 2010.
 
Pamoja na Blog ya Michuzi kutoweka picha za Chadema Blog ya FOS inajitahidi kutuwekea, nawashauri FOS wawe na mpiga picha wao ambaye atakuwa ana upload picha za Chadema hasa za mgombea wake wa urais popote atakapokwenda kuwawezesha na wengine ambao hawako kwenye msafara kujionea kama anavyofanya Michuzi kwa mikutano ya CCM..
2hxtwud.jpg


jue6hd.jpg


2r3aurn.jpg


2r3wep2.jpg


675tog.jpg
 
Marin Hassan ANAIAIBISHA tasnia ya uandishi wa habari. Anajulikana kama fisadi - ulizeni kinachojiri Jambo Tanzania mtaelezwa - na alistahili kupata zaidi ya adhabu aliyoipata pale Jangwani. Iko siku wananchi hawatakuwa na simile, watamtoa ngeu, akirudia utumbo wake!

Mtu ana kazi nzuri, mshahara mzuri, lakini bado anajipendekeza kwa JK.... Marin, JK HATAKUPA UKUU WA WILAYA!
 
Hivi kuna mtu anaweza kutueleza ni kwanini umati haujapigwa picha kutoka jukwaani kuonyesha wingi wa watu huku mpiga picha akiwa nyuma ya Slaa kama ilivyofanyika kwengine?
 
Back
Top Bottom