Saed Kubenea na gazeti la MwanaHalisi

Jazzband bin jazba tupu! mbona hamtuambii hilo Mwanahalisi limesema nini? tu(m) najadili upupu no wonder 70% of us ni bendera fuata upepo.

By the way hivi Saeed Kubenea ameshaacha kuwa mdini? maana kuna wakati alidai mawaziri waislamu katika cabinet ya Kikwete wanaandamwa kwa sababu ya uislamu wao. Na jamaa mkaja juu sana hapa, lakini leo kishakuwa overnight hero!.

Tanbihi: Soon you will be dissapointed huyo jamaa kwa mambo ya mshiko hajambo! ipo siku mtakuja sema Kanda2 alisema!

Hiyo siku haipo
 
Uongo uliotukuka. Labda mji wa mkoa wako tu. Na labda kwa sababu mlichagua maisha bora kwa kila mdanganyika na mkapata the opposite kwa kutokua na miundombinu.

Mwaka huu anakuja tena huko kwenu kwa ahadi zile zile na majuha mtampa. Kalagabaho.

Sadly to say, wako wengi sana hawa. Poor We.
 
Hongera sana na timu yako. Gazeti la MwanaHalisi la jana (25/08/2010) ni MOTO WA KUOTEA MBALI. MUNGU AZIDI KUWABARIKI. HAKIKISHENI LINAFIKA KILA KONA YA NCHI HII NA KWA SASA KATIKA KILA MIKUTANO YOTE YA KAMPENI.

LAZIMA NIWE MKWELI. GAZETI LENU LINATISHA. NI MUHIMU PIA KILA MWANAFUNZI NA MWALIMU HAPA NCHINI AKAPATA NAKALA YAKE KILA LINAPOTOKA SIKU YA JUMATANO.

Josephat Simon Sabi Sanda
Dar es Salaam
Tanzania
0659 28 19 64

Sada, you are right but, point of correction; ukali wa MwanaHalisi sio wiki hii pekee!

MwanaHalisi tofauti na magazeti mengine hutizami vichwa vya habari ndio ununue! Ukiwa karibu na kibanda cha kuuzia magazeti mara zote utasikia NIPE MwanaHalisi hata kabla ya kuona vichwa vya habari!

Kuchelewa ku-update ktk mtandao inawezekana ni business trick ili watu wapate hard copy. Lakini atleast siku hizi unaweza kulipata by the next day (alhamis)

Big up Kubenea!
 
Jazzband bin jazba tupu! mbona hamtuambii hilo Mwanahalisi limesema nini? tu(m) najadili upupu no wonder 70% of us ni bendera fuata upepo.

By the way hivi Saeed Kubenea ameshaacha kuwa mdini? maana kuna wakati alidai mawaziri waislamu katika cabinet ya Kikwete wanaandamwa kwa sababu ya uislamu wao. Na jamaa mkaja juu sana hapa, lakini leo kishakuwa overnight hero!.

Tanbihi: Soon you will be dissapointed huyo jamaa kwa mambo ya mshiko hajambo! ipo siku mtakuja sema Kanda2 alisema!
Siunajua tatizo la waG!
 
Sada, you are right but, point of correction; ukali wa MwanaHalisi sio wiki hii pekee!

MwanaHalisi tofauti na magazeti mengine hutizami vichwa vya habari ndio ununue! Ukiwa karibu na kibanda cha kuuzia magazeti mara zote utasikia NIPE MwanaHalisi hata kabla ya kuona vichwa vya habari!

Kuchelewa ku-update ktk mtandao inawezekana ni business trick ili watu wapate hard copy. Lakini atleast siku hizi unaweza kulipata by the next day (alhamis)

Big up Kubenea!

Nkunya,

Unachokisema ni kweli kabisa. Ila kwa upande wangu hilo la Tarehe 25/08/2010 lilikuwa nzuri kupita kiasi na ninaamini wataendeleza huo ubora wao bila kuchoka. Kama wengi walivyosema, kwa kweli wanahitaji kutiwa moyo sana. Ni sawa kabisa ili ununue MwanaHalisi huitaji kusoma vichwa vyao vya habari. Kuna Profesa mmoja hapa nchini anayeheshimika sana analipenda kuliko kawaida na huwa halikosi kila wiki.

Watanzania tuwaunge mkono kwa kulisoma hili gazeti kila wiki kwa ukamilifu wake na kuhakikisha kuwa tunalinunua kila wiki bila kukosa.
 
Jana nilikuwa na kijana wangu mmoja nkamwambia ngoja nipate magazeti ya kimapinduzi apa ie raia mwema na mwanahalisi.
Jamaa akacomment akasema unajua ukiwa wasom soma hayo magazeti unaweza piga mtu ghafla.
Mda si mda tukaona STK imepita inaninginiza bendera ya chama tawala wanaelekea kwa kampeni

Tuombe MUNGU isitokee hivyo ila inawezekana kabisa. Wanafanya kazi kubwa sana.
 
Nashauri litolewe mara mbili kwa wiki badala ya mara moja kama ilivyo sasa kwani kuna mambo mengi ambayo huwa ni muhimu tuka[pata uchambuzi kutoka vyombo makini km mwanahalisi bila ya hivyo tunakosa radha halisi ya kupata habari.................
Kila raia anauhuru wa kupata habari lakini siamini km ni kupata habari tu ila naamini ni kupata habari makini kutoka vyombo makini kama mwanahalisi........
 
Wewe mtu wa Kipatimu, acha utani!!!

Jamani hakuna wakati mgumu kama huu kupata habari za magazeti Tanzania kwenye mtandao! Najilaani kwa kuthubutu kuwa nje ya TZ kipindi hiki! Ukigonga Nipashe hamna, Tanzania Daima hamna, hata Mtanzania wanakuletea nakala xza 2009, majira usiombe, ni mwananchi tu na dada yake the citizen, kidog na Guardian....jamani hamna soft copy hata za wiki iliyopita mkatuwekea hapa, hasa yale ya Kubenea, Raia Mwema, Tazania Daima na Nipashe!!!!
 
Nkunya,

Unachokisema ni kweli kabisa. Ila kwa upande wangu hilo la Tarehe 25/08/2010 lilikuwa nzuri kupita kiasi na ninaamini wataendeleza huo ubora wao bila kuchoka. Kama wengi walivyosema, kwa kweli wanahitaji kutiwa moyo sana. Ni sawa kabisa ili ununue MwanaHalisi huitaji kusoma vichwa vyao vya habari. Kuna Profesa mmoja hapa nchini anayeheshimika sana analipenda kuliko kawaida na huwa halikosi kila wiki.

Watanzania tuwaunge mkono kwa kulisoma hili gazeti kila wiki kwa ukamilifu wake na kuhakikisha kuwa tunalinunua kila wiki bila kukosa.

Ni gazeti ambalo linaibua hisia za uzalendo, na linafanya wale wanaotaka kumuua Mwalimu Julius Kambarage Nyerere washindwe.
Na welegee, teh, teh,...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom