Usaliti ndo dhambi ya mwisho katk jeshi,adhabu yake ni kifo,siasa ni tofauti kdg,adhabu yake si kusamehewa ila ni kupigwa exile,kizuizini.kwa ushndani wa sasa wa siasa za tz,huwezi samehe watu hawa,wapigwe chini,warudishe kadi za chama,kimsingi hata ben saanene,huwezi kumuamini,apigwe probation...