LIVE UPDATES: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya ukombozi - MANZESE

LIVE UPDATES: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya ukombozi - MANZESE

Picha za waliohudhuria ziwekeni au magumashi tayari?
 
Wakati Tume ya Mabadiliko inasema Katiba itambue maadili ya uongozi, utoaji wa huduma pasipo ubaguzi, kupiga vita rushwa, CCM wao wanasema maadili hayo yote hayafai, yaondolewe kwenye katiba mpya.

Anauliza kwa msimamo huo, CCM wanapinga au kutetea rushwa, wananchi wanasema wanatetea rushwa.

Anasema CHADEMA inaunga mkono maadili hayo yatamkwe na kutajwa kwenye katiba mpya.
 
attachment.php

inaleta faraja sana kuona wananchi wa kawaida kama hawa wanaudhuria mikutano ya Chadema.
inaonyesha Chadema ndio tumaini pekee la wanyonge.
 
Rushwa ipingwe na katiba yenyewe. Huo ndiyo msimamo wa CHADEMA. Kama ni sheria hata sasa ipo lakini hakuna utekelezaji...
 
CCM hawataki haki za binadamu zitamkwe na kuzingatiwa na Katiba Mpya, wakati CHADEMA wanaunga mkono haki za binadamu ambazo Watanzania wamezipigania kwa muda mrefu lazima zitajwe na kuzingatiwa kwenye katiba mpya.
 
Samahani mkuu Makene!
Tunaomba picha za mkutano ili tuone watu waliohudhuria.
 
Wakati Tume ya Mabadiliko inasema Katiba itambue maadili ya uongozi, utoaji wa huduma pasipo ubaguzi, kupiga vita rushwa, CCM wao wanasema maadili hayo yote hayafai, yaondolewe kwenye katiba mpya.

Anauliza kwa msimamo huo, CCM wanapinga au kutetea rushwa, wananchi wanasema wanatetea rushwa.

Anasema CHADEMA inaunga mkono maadili hayo yatamkwe na kutajwa kwenye katiba mpya.

Wenje alikuwa yuko sahihi kabisa aliposema CCM ni kama ukoo wa panya, baba ni mwizi, mama ni mwizi, mjomba mwizi, shangazi ni mwizi, mtoto ni mwizi.
 
kazi nzuri ya chama cha siasa ni kuhubiri chuki siku zote ili wapate wafuasi....
 
A CNN reporter asked Mr. Obama this question as he was preparing to get on his plane to begin a journey to Africa: ''Have you ever heard about an opposition political party called CHADEMA?'' ''No. But the name sounds like a condom brand,'' the president responded with an uneasy smile on the face. I suspect he confused ''CHADEMA'' with ''CHADAME,'' which is the most popular rubber sheath among teenage boys in his hometown of Chicago.

It is NOT FUNNY!!
 
Back
Top Bottom