Wasaliti wa chama,wafuasi wao na wanaowaonea huruma

anatropia

Member
Sep 27, 2007
23
5
Tumechoshwa na story za wasaliti wasaliti wasaliti,zito zito zito,mkumbo mkumbo mkubo.if you guys think ur popular,register ur own party,mobilize ur followers na wanao waonea huruma,leave chadema alone.huu mjadala unakolezwa zaidi na vyombo vya habari....country men lets now discuss issues overiding our country,zito ni mtu mdogo sana.nimechoshwa na posts za wasaliti ndani ya jf mpaka naona kama zile feza wanazosema kaongwa zimemwagwa kwenye media ili wamtetee.tumechoshwaaaaaaa bwanaaa
 
kama hawezi kuanzisha chama yeye na wafuasi wake wahamie CCM wanaompigia upatu , anang'ang'ania CDM kuna nini wakati kuna vyama tele.. !!!!!
 
Wapambe wa zzk watasema sana lakin kadi nyekundu imeshatoka kitambo poleni wasaliti maombolezo mema.
 
Back
Top Bottom