Huyu ndio Habib Mchange

Huyu ndio Habib Mchange

Habibu Mchange nakufahamu vyema.Tangu enzi zile unauza korosho na miogo ya kuchoma pale Kibaha.Sasa hivi umebadilika sana kiuchumi. Wewe bado mwanafunzi wa UDOM. Umekuwaje na ukwasi ulionao wakati familia yako ni choka mbaya?

Wana-Kibaha walikukataa kwa sababu mbili.Kwanza,ulikuwa bado mwanafunzi.Pili,huna msimamo kwakuwa ulinywea haraka kwa Koka na kumsusia jimbo la Kibaha Mjini.Uongo? Uasi wenu chamani umeshindwa.Sasa mna machaguo mawili: kutubu au kujitoa chamani.Lakini,hata mkitubu hatutawaamini tena.Habibu Mchange,natunza mengine kwa heshima yako. Kaa kimya

funguka mkuu au niPM
 
Habib ni kilaza, Biblia inasema amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu kuwa kinga yake. So umelaaniwa.
 
Fringe kwa nini unataka tuamini taarifa zako ambazo hata chanzo hazina na tusiamini chanzo kingine cha habari kama magazeti? Mwnahalisi limeandika habari nyingi tu na zimethibitka kuwa na usahihi wa kiwango kikubwa. Labda niambie wewe chanzo chako cha taarifa ambacho unakiamini ni kipi? na kwa nini. Jibu hoja si mtoa hoja ambae amenakili chanzo.
 
Yetu macho na maskio,masalia mnatia hasira,mnadhani nyie ni wangapi kwa idadi ya wapnz na wanachama wa cdm?dr.piga mbuzi wasaliti hawa chini,jahazi lisonge
 
Back
Top Bottom