Minazani viongozi wanchi hii, kabra atujawapa mamlaka ya kutuongoza tungewapima kwanza D N A. Ya uzawa kwanza hili tujilizishe yakwamba nikweli wanajichembe chembe yautanzania ?, maana viongoziwetu sulazao zinaonyesha zakitanzania lakini matendoyao yawakimbizi.
Kwanza nakupongeza wewe mtoa mada, ila tuangalie jinsi kesiyenyewe inavyoendeshwa, pia tutafakali ivi nikweli kunyimwa zamana niaki yakikatiba au laa, pia tutafakali ivi kunanini nyumayapanzia?. Mininazani jeshi lapolisi na maakamayake pia na serikali wanataka kutuaminisha kwamba chochote...
Bora mkapa katujengea dalaja pale lufiji kutuunganisha na wana kaskazini pia katujengea dalaja pale mtamba waswala kutuunganisha na wana msumbiji. Kwaili mhe. Mkapa nampongeza kwa 100%
Jamani minazani huu niwakati wakuwatumia waganga wetu wajadi maana wao wanaishi namashetani yani wakapigebao. Wale waliowai kufika kwawaganga wanalijua bao
Jamani tumitaka viwanda sasa mbona tunaviuwa viwanda yani kama mimi ndoningekua mshauli wa RAIS. Ningemshauli iviviwanda vinavyo tengeneza pombe alamu sisi kama sirikali tuwaboleshe vijanawetu namitamboyao ili waweze kuzalisha pombe ambayo ainamazala makubwa katika matumizi ya watuwetu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.