Sakata la Lema: Lowassa ana Gundu na ni mbinafsi!

Lema hajawai kutuhumiwa kwa wizi na ufisadi kama alivyo Lowassa.
Wewe hivi unaifahamu HISTORIA ya LEMA kabla ya kuwa mbunge????
Pombe simpendi lakini kama ni Lowassa hapana.
Sasa unatafuta nini huko CHADEMA???maana huyu ndiye MGOMBEA wa chama milele na kila mtu analifahamu hili..inasemekana kaweka BONDI ndani ya CHADEMA ya kuwa MGOMBEA uraisi mpaka atakapoomba POO yeye mwenyewe
 
Sasa umezidi mkuu. Ni aibu kumchukia binadamu mwenzio kwa kiwango kilichopitiliza kama hiki.
 
Mada zote mfuu,kila kitu huwa akiwekwe wazi mapambano anayo Fanya LOWASSA KWA LEMA NI TECNIC ZAIDI KULIKO unavyofikiri ww, don't panic time will tell,
 
unataka kila wakienda kumtembelea warushwe kwa vyombo vya habari si ndio? wew unajuaje kama hawajamtembelea au na ww mpo wote lupango? mtoa mada jibia
 
Lowassa na Lema hawajawahi kuwa maswahiba tangu ule uchaguzi wa Arumeru wa "ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea...".
Hata kampeni za 2015 zilipita kwa shida sana kati ya hawa mabwana mawili.
Tangu hapo sijawahi sikia wakipena maneno yeyote ya furaha...
Bado wana ukaribu sana! Jozi 1 umesahau hata kule Kagera EDO alivyokwenda kutoa msaada kwa wahanga wa Tetemeko, Lema ndie aliyekuwa amembebea Notebook/Diary?
 
Haiwezekani Lema yupo gerezani miezi miwili sasa hajaenda hata kumjulia hali hata Mala tatu wakati ni majirani Monduli na Arusha mjini.

Yupo yupo tu kimya Lema anakamatwa kimya,Mwalimu alikamatwa kimya,Lissu akikamatwa kimya.

Na siku akikamatwa yeye kwa ufisadi sisi tutakaa kimya.

Chadema ni Lema na Lema ndio nembo halisi ya Chadema.

Lema ndiye anawakilisha mawazo halisi ya wapinzani wa kweli nchi hii.

Lema hajawai kutuhumiwa kwa wizi na ufisadi kama alivyo Lowassa.

Lema hajawai kunyamaza kuhusu ukandamizaji wa haki maana haujaanza Leo .

Lakini Lowassa eti ameanza kuwatetea wananchi baada ya kuamia Chadema.

mtu hana hata mvuto tena kama walivyo wakin Cheyo na wenzie .

Mtu ambaye kafanikisha kuwaziba midomo wakina Msigwa na Mnyika wanapotea kisiasa.

Hivi Lowassa huyu huyu aliyekataa katiba mpya ya Warioba ambayo matokeo yake tunaendelea kutumia katiba ya 1977 inasababisha Lema aendelee kusota gerezani maana baada ya kupata katiba mpya tungerekebisha sheria zote mbovu.

Alafu kuna watu wanamsapoti eti awe Rais wa nchi serious?...

Pombe simpendi lakini kama ni Lowassa hapana.

Lowassa ni mbinafsi hawezi kuwa rais wa Tanzania tena.

Lowassa hawezi na hatoweza kuleta mabadiliko ya kweli ya kuwatetea watanzania maana alishawasaliti huko nyuma .
Mimi mzee Lowasa simuungi mkono kwa mambo mengi lakini kuna mengine huwa anaonesha dalili za ukomavu na kujitambua "self awareness",mfano ni hili la kumtosa Lema.
Mtu anayejitambuahawezi kumuendekeza mtu kama huyu,ni wa kumuacha afunzwe na ulimwengu,mfano ni huyo Mwalimu uliyemtaja hapo juu,alipojichanganya na kukamatwa kule kanda ya ziwa na kutoswa ahangaike kivyake baada ya kutoka hatumsikii tena kuropoka ropoka,tazama watu makini wote wamemchunia...kina Mbowe,Mnyika nk.
Ukifanya fyongo ukitegemea Lowasa atasimama nyuma yako kukutetea ujue imekula kwako,Lowasa sio nyumbu wa kupelekeshwa,penye fyongo anajua hii ni fyongo na anakutosa,na issue iko mahakamani ni nje ya uwezo wake.































































t
 
Kwanza nakupongeza wewe mtoa mada, ila tuangalie jinsi kesiyenyewe inavyoendeshwa, pia tutafakali ivi nikweli kunyimwa zamana niaki yakikatiba au laa, pia tutafakali ivi kunanini nyumayapanzia?. Mininazani jeshi lapolisi na maakamayake pia na serikali wanataka kutuaminisha kwamba chochote wanaweza kukifanya ndani yanchi kwaiyo wanchi tujiangalie katika nchi hii, Mimi binafi simlaumu lowassa wala chadema tena minazani hata uyo lema mwenyewe akuna anaemlaumu kwani mchezo wote unaochezwa wanaujua.
 
kiukweli kabisa, kwa sisi tuliompigia kura 2015 tukidhani ni yule wa maamuzi magumu, Lowasa anatuangusha sana. kipindi chenye changamoto dhidi ya upinzani kama sasa ndipo yale maamuzi magumu yake tulitarajia kuyaona.

kwa mwendo huu 2020 kura yangu mmh, labda aji-reinvent well before then.

kuhusu ufisadi wa Lowasa, kila Mtanzania ambaye akili yake haijawa possessed na wahalifu halisi wa nchi hii anatambua kuwa jamaa just got caught up in a crossfire between the CCM "gangster factions".

I will bet my fat a*s..... baada tu ya kuanzishwa kwa kile kilichopachikwa jina la "mahakama ya mafisadi" lazima tu CCM wangeanza na Lowasa. kushindwa kwao kumpeleka kwenye mahakama hii kunathibitisha kuwa jamaa ni innocent au kwa nafasi ya ya u-PM alikuwa anawakilisha criminals wa mfumo corrupt wa wakati ule.

so, wanaoibeza mahakama hii kuwa ni unafiki wa kisiasa hawajakosea kabisa kwani imeshindwa hata kuwashughulikia wahalifu halisi kama wale wa Escrow - wapo mtaani wanatanua na hela zetu, huku wengine wakipewa shavu kwenye cabinet, etc.

[HASHTAG]#purgeccm2020[/HASHTAG]
 
Kwanza nakupongeza wewe mtoa mada, ila tuangalie jinsi kesiyenyewe inavyoendeshwa, pia tutafakali ivi nikweli kunyimwa zamana niaki yakikatiba au laa, pia tutafakali ivi kunanini nyumayapanzia?. Mininazani jeshi lapolisi na maakamayake pia na serikali wanataka kutuaminisha kwamba chochote wanaweza kukifanya ndani yanchi kwaiyo wanchi tujiangalie katika nchi hii, Mimi binafi simlaumu lowassa wala chadema tena minazani hata uyo lema mwenyewe akuna anaemlaumu kwani mchezo wote unaochezwa wanaujua.
Mkuu unatupa shida kusoma huu uandishi wako wa analojia
 
Lema alishawahi kumuomba msamaha Lowassa kwa kusema kumtukana Lowassa kuwa ni mwizi na ufisadi ni thawabu?
Kauli za kisiasa tu hizo hasa pale inapokuwa ktk hali ya vyama vya upinzani.

Sasa kama Lowasa bado kaliwekea hilo moyoni huyo hatufai na ni mbinafsi
 
Back
Top Bottom