TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Kwanza Nianze kwa kusema Nimechekeshwa sana na na Taarifa za Gazeti la Mwananchi ati Jopo La Majaji Mahakama kuu limeaphold sheria ya Makosa ya Mtandao ila tu Kifungu cha 50 Kinachokataza rufaa kwa mtu aliyekiri kosa la mtandao.
Nimecheka kwa Jinsi Gazeti lilivyosisitiza kuwa ati chunga vidole vyako Sheria imekuwa upheld! Uhalali wa Sheria au policy katika jamii hamutokani na mtu mmoja kuwahonga wabunge waipitishe, au Walevi watatu kusema ni halali. Uhalali wa Sheria au Policy ni Kuzingatia Katiba, Practicality na Kutenda kwake haki kwa usawa
Hivi niulize, Marafiki wawili wakiwa wanaongea Facebook, Mmoja Mwingereza na Mwingine Mkenya, wakaanza kuongea Siasa, Kisha wakampaka sana Rais wa Tanzania Sheria hii itawafanyaje? Na akiwepo wa Tatu mtanzania akashiriki Mzungumzo na Kukubaliana nao anashitakiwa kama mshtakiwa pekee au mstakiwa No. Ngapi na Wale wawili mtawafanya nini?
NIRUDI SASA KWA HOJA YA TANESCO
Magufuli kwa msemo maarufu, amemtumbua Felichism Mramba Mkurugenzi wa Tanesco kwa kutangaza kuwa grarama za Umeme zitapanda. Lakini wakati huohuo Serikali ya Magufuli imenyamazia Ubakaji Unaofanywa na Matapeli wa IPTL kuibaka Tanesco kwa kulipwa nadhani Usd 100,000 Kila siku wazalishe au wasizalishe Umeme. Na kiasi hiki ndicho kilichozua Zile fedha za Mboga za Escro za bilion 360 hivi ambazo Kuna Mh. Chenge alipata Visent vyake 1.6 Bill. Na Mh. Tibaijuka akapata Hera zake za Mboga za Tsh. 1.6 bill. Na wanaCCM wengine wakapewa Wengine Rambo, Wengine Visulfet, Sandarusi na Rumbesa pesa keshi kulingana na Uzito wake.
Sasa Zile hela zililipwa kwa kuwa zilikuwa zimezuiwa kwa Mgogoro, Lakini Kesi iliozua Mgogoro huo, serikali ilionekana Inapunjwa na IPTL wakaapewa Fursa ya kufanya mahesabu mapya Majizi hawa minyoo waliojificha Tumbo la Tanesco kupitia IPTL wakakataa kwa hiyo mpaka hivi sasa Tanesco inawalipa IPTL zaidk ya Usd. 100,000 kwa siku. MAGUFULI KIMYA? Muhongo mwenyewe alihusika na Escrow yeye na Katibu wake mkuu na Bunge likaamuru wawajibishwe, Sio Tu Magufuli amekaa Kimya, Amemrudisha Muhongo Wizara ile ile na Pia amempa wadhifa Maswi aliyekuwa Katibu Mkuu madini wakati wa Escrow.
Tanesco ina Wadaiwa Sugu wengi, Mojawapo Ni Serikali ya Magufuli na Taasisi zake ambazo kwa ujumla wana deni la karibu Trilioni moja la Umeme, Na Mashirika Kama Kiwira Mines wanadaiwa na Tanesco 1.2 Billion Tsh. Sijui kama walishalipa. Matatizo haya na mengine ndio uozo wa Tanesco, lakini Magufuli Dictator dhaifu kwa sababu ya Popular politics ameona Mramba ndio Kondoo wa kafara.
Ati siasa mpaka 2020 The hell kila afanyalo huyu Bwana ni Siasa, mnakumbuka Issue ya Wamachinga? Si alikiri kuwa Wakuu wa wilaya na Mikoa hawaombi kura hivyo wasiwasuumbue wapiga kura wake?
Mimi niseme tu simwonei mtu huruma kuwajibishwa kwa Uzembe, ila Magufuli ni Mnafiki sana katika hili analoita Utumbuaji kwa sababu nilizoeleza hapo juu.