Ndugu kama nilivyo kwambia mimi ni fundi umeme nimehitimu mafunzo ya ufundi umeme mwaka 2015 ila sijafanikiwa kupata nafasi nzuri ya kutumia ufundi wangu hivyo naomba mwenye kuhitaji kunisaidia. Nipo mwanza nyamagana mkolanii kwa simu no 0746565455 naweza kufanya kazi yeyote kwenye kampuni...
Naomba mnifahamishe blog ambayo unaweza kupata historia za watu mbalimbali mashuhuri duniani maana napenda kufuatilia historia zaooo please naomba kufahamishwa msaada zaidi naombaaa thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.