Amperius kajuna
Member
- Apr 22, 2017
- 26
- 3
Me ni muhitimu wa ufundi umeme mwaka 2015 ila bado sijapata fursa nzuri ya kufanys ili niweze kuendeleza taaluma yangu. Me ni mhitimu chuo cha ufundi stadi sengerema mwanza kwa sasa niko mwanza nyamagana mkolani kama unajiskia au unaweza kunisaidia kwa njia moja ama nyingine kunisaidia tafadhali naomba usi site. Waweza kunipigia kwa sim 0746565455 au kajunakajuni@gmail.com asante sana. Naomba kazi tafadhalii