<br />
<br />
unaweza ukawa upo ryt, lakn zingatia haya:
kwanza nahc Lema hana makosa, kwann nasema hvyo?
wakat madiwan wakifikia muafaka, Lema alikuwa wapi? (BUNGENI),
je, hawa madiwan wamevunja kanunu za chama au hawajavunja?
(wamevunja),
kama walicmama kwenye maandamano...