mh. rais dr jk kikwete yupo right; mwachieni ahutubie mbona hata mwl nyerere alikuwa anatumia anatumia sana nafasi kama hii ya baraza la eid kwa ajili ya kuwatoa ukungu baadhi ya watu wenye fikra potofu za uidini, ukabila na upendeleano kwa maeneo watokayo watu kama vile walivyo magwanda! nawaomba mumsikilize kwa makini mh. raisYes, leo ni mwisho wa mwezi lakini leo sikukuu ya EID kwa waislam. Kwa rais kutumia hii siku kwa mambo yake ya kisiasa ni kuwakosea waislam wenzake heshma and very selfish of him. Angeweza kutuo hotuba jana, lakini sio ku-hijack sikukuu ya dini kwa kwa siasa zake. Kama kweli atafanya hivyo basi kuna kila dalili kwamba rais wetu anatumia dini (again) kujificha. He is playing the victim game. Na hawezi kujitetea kuwa anatoa monthly speech kwa sababu hajawa consistent kwenye hili. Imepita zaidi ya miezi 5 sasa tangu atoe speech kwa hiyo hawezi kuja na hoja ya monthly speech.
Waislam nao wanabidi wawe waangalifu, maana wanaonekana kuruhusu dini yao kuwa contaminated na malumbano ya kidunia/siasa badala ya kujikita zaidi kwenye mafundisho ya dini. Let's wait and see kwanza kabla sija-comment zaidi.
Hata hivyo niwatakie Eid Mubarak waislam wote & I hope you have a blessed day.