Lema afunua siri za muafaka wa madiwani Arusha

Naishi Arusha.
Kila mwana Arusha anajua kuwa Lema ni Jambazi!
Hivi wewe Flora siyo ndugu yake Papaa Msoffe yule tapeli la nguvu la dsm?
Sasa Kama Jambazi NYie na CCM yenu mmeamua nn,au ndo mnamuenzi Pinda kwa Kulia lia tu, Ooo Lema Jambazi oooh Lema Jambazi,kawashika Pabaya kweli,Kawashika Masaburi yenu,hamna hali Kwishneyyyyy....

Naishi Arusha.
Kila mwana Arusha anajua kuwa Lema ni Jambazi!
Hivi wewe Flora siyo ndugu yake Papaa Msoffe yule tapeli la nguvu la dsm?

Mtu mzima kusema uongo kama wako ni janga la taifa, hata kama ni njaa si unywe maji tu leo Mungu atakupa risiki unayoihitaji kesho.

Hizi kweli sinema za kina Kanumba na Muhogo Mchugu!

Vipi si mwambieni Lema awaonyeshe na ile DVD yake hanavyopora magari kwa kutumia silaha

Siku yako ya mwisho utautoa huu ushahidi mbele ya anaekupa pumzi(Mungu)

Mtu mzima kusema uongo kama wako ni janga la taifa, hata kama ni njaa si unywe maji tu leo Mungu atakupa risiki unayoihitaji kesho.
Hapo kuna uongo gani?
Kila kitu ni cha kweli.
Huu ndio mwisho wa CDM!
Mlidhani mmepata, kumbe mmepatikana!

Kamanda Lema inabidi tumpe jina la 'Ant Virus' wa cdm. Safi sana cdm, kazeni mwendo tuko pa1 msituangushe

Kuna watu humu ndani wanalipwa kuwapeleka watu off point, ishu hapa ni mkutano na ushahidi alioutoa Lema full stop. Wale wanaotaka discuss umbea, hili si jukwaa lake, tusiwape nafasi hapa.

Sasa Kama Jambazi NYie na CCM yenu mmeamua nn,au ndo mnamuenzi Pinda kwa Kulia lia tu, Ooo Lema Jambazi oooh Lema Jambazi,kawashika Pabaya kweli,Kawashika Masaburi yenu,hamna hali Kwishneyyyyy....
Kila mwana Arusha analalamika kuhusu huyu jamaa!
Toka amechaguliwan hali ya maisha hapa imekuwa ngumu sana! Afadhali lisimamishwe gogo lituongoze kuliko huyu Jambazi!

amka Mkuu, maneno yake yalirekodiwa na aliyempigia, vile vile simu ya Mallah imefungiwa GPS, chombo kinachorekodi sauti.
GPS=Global Positining System.
siyo chombo cha kurekodi sauti bali location.
Jinsi ya ku proove ni kuasngalia phone records kutoka kampuni ya simu.

vyema kabisa CDM msiwakumbatie kama wenzenu magamba yakijakomaa kama yatakua na kiburi cha chenge

Hilo huwa tunalisema kila siku!

Media tu ilimpa nafasi Zombe, but watu tunafaham long tyme kuwa Lema ni Jambazi

usijali tunampenda na tunamwamini, mwacheni akawatumikie wananchi. Mara jambazi mara chalii. Chadema tunasonga mbele

Lema ni Jambazi jamani haya maneno yangu! Mtakuja kuyakubali muda si mrefu! nawashangaa watu Arusha wanakuwa mateka wa mwizi wa magari lazima muwe na Cognition

2naomba ushahd, maana hata 'Ze kila' alisema lakn 2meshawachoka magamba! 2pe ushahdi na uache maneno!
Kwanya ww ni mwizi wa pikipiki!!

Lema ni Jambazi jamani haya maneno yangu! Mtakuja kuyakubali muda si mrefu! nawashangaa watu Arusha wanakuwa mateka wa mwizi wa magari lazima muwe na Cognition

JF si kijiwe cha udaku kila kitu kinatakiwa kuwa supported na evidence, Ndiyo maana issue ya Gen Shimbo imewekwa kapuni. Toa uthibitisho wa kauli yako. Hizi ni tuhuma kubwa sana hasa kwa public servant.

Lema ni Jambazi jamani haya maneno yangu! Mtakuja kuyakubali muda si mrefu! nawashangaa watu Arusha wanakuwa mateka wa mwizi wa magari lazima muwe na Cognition

KAGODA NI NINI!WAHUSIKA KINA NANI?HATUA GANI ZILIZOCHUKULIWA NA GOVT YA TANZANIA JUU YA GHOST CO KAGODA?

Back
Top Bottom