Nimesoma hoja inayodaiwa eti ni unafiki wangu kwa kusema kuwa yapo mazuri yaliyofanywa na Rostam Igunga kwa kipindi chake cha Ubunge... Hii imenishangaza sana... Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Hivi tunataka kuaminisha watu kuwa Rostam hakufanya chochote kwa kipindi chote cha Ubunge wake Igunga?? Kama kafanya hata kama ni kidogo KUSEMA UKWELI NI UNAFIKI? MI NADHANI TUWE OBJECTIVE VINGINEVYO mhhh...

kwanini mlimvua gamba Rostam katika chama chenu ? ..... ni wazi kabisa rostam alifanya hayo mazuri ili kuwapambaza watanzania wazalendo ili aweze kuchota na kuiba mali ya nchi hii na kuweza kuiweka serekali ya chama tawala katika viganja vya mikono yake

compare and contrast alichovuna Rostam na maendeleo ya wana igunga .... unaweza ukalia machozi ...... hapo ndipo ninapoona siku zote Nape huwa ni mweupe wa hoja

nilishakushauri utafute consultant wa mambo ya uchambuzi atukusaidia .... your analytical ability is at the plinth level

unless otherwise unajipendekeza kwa Rostam Aziz na Rostam anaweza akarudi ulingoni kwa kupitia kulipa fadhila unazozitaka kwa sasa

Nape .....you have proved beyond reasonable doubt that you are still practicing "gutter politics"
Nape,Nataka tujadili kwa kituo swala hili..... Hivi yale yaliyofanyika yeye akiwa Mbunge pale kafanya nani? Kuyasema aliyoyafanya ni sifa na unafiki? Hivi ni sahihi kusema hakufanya lolote jimboni wakati ukweli unajulikana kuwa yapo yaliyofanyika akiwa Mbunge? PENGINE NITUMIE MFANO HUU MBAYA..... HIVI MTU AKIWA LABDA JAMBAZI( nasisitiza ni mfano tu) AKAWA NA MTOTO, ETI KISA MZAZI WAKE JAMBAZI BASI HAKUMZAA YULE MTOTO, WATU WAKISEMA YULE MTOTO WA FLANI NI SIFA NA UNAFIKI?
Wanafki hawatauona ufalme wa mbinguni, ebu niambie Nazir Karamagi na Msabaha walifukuzwa? vipi Mzee Mwinyi alipokuwa waziri wa mambo ya ndani! Je Idd Simba hakujiuzulu uwaziri wa viwanda na biashara? Unamkumbuka Prof Mbilinyi wewe?Hapo sioni Unafiki wowote!
Rostam aliamua kuwa Accoutable (ni watanzania wachache sana wanaoweza kuachia madaraka-Oly Rostam & Lowasa hav done that)
Alifanya mambo mengi sana Igunga na kila mwana Igunga anayakubali- ndio maana tulishuhudia vilio siku ile alipokuwa anatangaza kung'atuka.
Kitendo cha Nape kumsifia kwa aliyoyafanya ni sahihi kabisa.
Ulitaka amponde kwa aliyowafanyia watu wa Igunga ambayo yanaonekana wazi wazi?
Wewe ulianzaisha hii thread ndio mnafiki mkubwa na hujui unalozungumza.
Sina uhakika kama mfano ulioutoa unaendana na hiki kinachojadiliwa hapa. Nape acha kujitetea na ukubali kwamba CCM ni wanafiki na siku zote mmekuwa hamsimamii mnachokiamini, kiini-macho cha vua gamba kinawatokea puani sasa, mnaonekana huwa mnafanya maamuzi ambayo hamjui likitokea hili mtafanyaje, ur not strategic.Nataka tujadili kwa kituo swala hili..... Hivi yale yaliyofanyika yeye akiwa Mbunge pale kafanya nani? Kuyasema aliyoyafanya ni sifa na unafiki? Hivi ni sahihi kusema hakufanya lolote jimboni wakati ukweli unajulikana kuwa yapo yaliyofanyika akiwa Mbunge? PENGINE NITUMIE MFANO HUU MBAYA..... HIVI MTU AKIWA LABDA JAMBAZI( nasisitiza ni mfano tu) AKAWA NA MTOTO, ETI KISA MZAZI WAKE JAMBAZI BASI HAKUMZAA YULE MTOTO, WATU WAKISEMA YULE MTOTO WA FLANI NI SIFA NA UNAFIKI?
Katoa mfano wa hovyo kabisa. Labda angesema hivi: Jambazi anapotoa sadaka kanisani inapokelewa?Sina uhakika kama mfano ulioutoa unaendana na hiki kinachojadiliwa hapa. Nape acha kujitetea na ukubali kwamba CCM ni wanafiki na siku zote mmekuwa hamsimamii mnachokiamini, kiini-macho cha vua gamba kinawatokea puani sasa, mnaonekana huwa mnafanya maamuzi ambayo hamjui likitokea hili mtafanyaje, ur not strategic.

Nataka tujadili kwa kituo swala hili..... Hivi yale yaliyofanyika yeye akiwa Mbunge pale kafanya nani? Kuyasema aliyoyafanya ni sifa na unafiki? Hivi ni sahihi kusema hakufanya lolote jimboni wakati ukweli unajulikana kuwa yapo yaliyofanyika akiwa Mbunge? PENGINE NITUMIE MFANO HUU MBAYA..... HIVI MTU AKIWA LABDA JAMBAZI( nasisitiza ni mfano tu) AKAWA NA MTOTO, ETI KISA MZAZI WAKE JAMBAZI BASI HAKUMZAA YULE MTOTO, WATU WAKISEMA YULE MTOTO WA FLANI NI SIFA NA UNAFIKI?
Nimesoma hoja inayodaiwa eti ni unafiki wangu kwa kusema kuwa yapo mazuri yaliyofanywa na Rostam Igunga kwa kipindi chake cha Ubunge... Hii imenishangaza sana... Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Hivi tunataka kuaminisha watu kuwa Rostam hakufanya chochote kwa kipindi chote cha Ubunge wake Igunga?? Kama kafanya hata kama ni kidogo KUSEMA UKWELI NI UNAFIKI? MI NADHANI TUWE OBJECTIVE VINGINEVYO mhhh...
mwacheni bwana nape wa watu.yeye anataka chama chake kishinde na kama rostam alisaidia igunga hata kama aliwaibia lakini alikula na wa kwao kwa hiyo uthibitisho wa rostam kuwa mbaya tuone baada ya uchaguzi utakaofanyika huko.wananchi ndio waamuzi kwa ukweli wa NAPENape Moses Nnauye ambaye siku za hivi karibuni alikuwa akipita huku na kule akiwananga mapacha watatu kwamba ni magamba, ndio yamechangia kuipa CCM ushindi mdogo, na kwamba lazima waondoke CCM. Moja ya magamba hayo ni Rostam Aziz.
Katika hatua inayoonyesha unafiki wa Nape na uongo wake uliotukuka wa kuwahadaa wananchi wa Igunga, Nape ameanza kumsifia Rostam Aziz huku akiomba watu wasimbeze kwa kuwa amefanya makubwa huko Igunga. Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania la leo, Nape amesema kazi aliyoifanya Rostam ndio kigezo cha ushindi wao huo Igunga.
Naomba watu wa Igunga msidanganyike tafadhali, huu uongo wa CCM wa kujipendekeza siku za uchaguzi unatakiwa ukataliwe kwa vitendo kwa kuwakataa huko Igunga. Nape anawafanya watanzania ni wajinga, kwamba anaweza kusema chochote leo na kesho akasema kingine na watu wakamsikiliza. Nape siasa za kuhadaa watu hazina nafasi kwenye dunia ya sasa, acha unafiki wako.
Kwa maana nyingine Rostam kafariki siasa! Hata baadhi ya makanisa na misikiti imejengwa kwa pesa kama hizi za akina Rostam na watu safi kabisa wanasali na kuswali humo!Hii mbona ni kawaida kwa aliyetutoka. Utasikia marehemu alikuwa mtu mzuri sana kwa hili na lile. hivyo basi, akiisha tutoka ni budi kuangalia mazuri ili yaendelezwe, hata kama ni kidogo sana. Lakini hii haimaanishi kumsafisha aliyetutoka na au kumwalika arudi tena kuendelea na mambo yale yaliyopelekea kuondoka kwake. Ukialikwa na ndugu wa marehemu utoe salamu za mwisho kwa adui yako mkubwa, utajitahidi sana utafute uzuri mdogo aliokuwa nao marehemu kwa wana-ndugu, maneno hayo hayabilishi hata kidogo msimamo wako wa msingi kuhusu tabia mbaya ya ndugu yao.
Wasalaam