Kesi ya Ridhiwan against Dr. Slaa na Mtikila

Kesi ya Ridhiwan against Dr. Slaa na Mtikila

Jamani siku nyingine someni magazeti ya Kiingereza. Mbona Ridhuani alishafungua kesi mahakamani ya madai dhidi ya Dr. Slaa na Rev. Mtikila kama wiki tatu zimepita sasa. The Citizen iliandika hii habari.[/QUOT]

Nani kasema hajui? Uzi unaongelea maendeleo ya kesi,au ulitaka uongelee usomaji wako wa magazeti ya 'kiingeleza'

AU NI YALE AMBAYO YANAEDITIWA KWANZA IKULU NDO WANAYA PUBLISH? MMMH NINAMASHAKA NA HILI!

Jibu hoja kama una maslah na huyo ****** jr hela za vituo vya kuuzia mafuta (lake oil),kusafrisha mafuta nchi jirani (congo na zambia),masemi trailer 100,yard za magari n.k kazipataje huyu mwendawazimu kwa muda wa miaka michache hyo? kwa kuwa unaingilia suala lisilokuhusu tuambie bas we fox (mbweha)

muambiwe bmarra ngapi humu kuwa wana wenzao faida wanavyogawana wanajiju nani anasaidia hiki kile wanajijua wenyewe.
unadhani nyingi ukienda leo utakuta jina la kikwete kila kona tu? u thinking now??????????????

Ridhiwan haogopi mtu. Anachofanya ni kuvuta muda kwasababu ana vitu vingi anataka kulipua. Kama hamna taarifa ulizeni.

Radhia,

Mtoto umekolea pande zote. Nikupate wapi jameni mweeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!

jamani tumechoka maandamano, tufanye kazi kwa maendeleo ya taifa letu changa. Kila siku kuandamana tu, halafu nchi ikidumaa mnaanza kuitupia lawama CCM

Tumekwisha fanyakazi kwa bidii sana lakini zinaliwa na CCM, sasa inatakiwa tulinde sana tunacho kanyia kazi. Maandamano ni kupiga kelele ili mwizi anaetuibia ajue tumembaini, ajiandae kukimbia.

jamani tumechoka maandamano, tufanye kazi kwa maendeleo ya taifa letu changa. Kila siku kuandamana tu, halafu nchi ikidumaa mnaanza kuitupia lawama CCM

TUMECHOKA KUITUMIKIA CCM! HIVI UDA MIKATABA FEKI NKATABA HEWA UFISADI WA KUTISHA KAMA SI KAZI YETU NI NINI! ETI TAIFA LETU CHANGA WE UNAFKIRI LITAKUWAJE KAMA WATU WACHACHE WAMEAMUA KUTIA HELA ZETU MIFKON INCLUDING HUYU RZ1 ANA MALORI MIA WEWE UNANINI? AMKA KIJANA A CHANA NA MAWAZO MGANDO YA KUTETEA UJINGA

jamani tumechoka maandamano, tufanye kazi kwa maendeleo ya taifa letu changa. Kila siku kuandamana tu, halafu nchi ikidumaa mnaanza kuitupia lawama CCM
ww magamba nn? Hii nchi c o changa imekomaa ndo maana mafisadi wanatuibia wananchi

Sehemu kubwa ya mada tunazoendelea nazo naona zimejaa gilba na roho wa fitina, wivu nashauri tujirekebishe kama jukwa la wataalamu/watafiti wa mambo tuje na scientific argument. angalia issue ya general shimbo kakutwa na a/c ya shs 3/= tirion na mara kahojiwa na kwa sasa kapigwa stroc kitu ambacho ni uongo mtupu. HIVYO HATA HILI R1 UONGO MTUPU KAMA KWELI TUICHE MAHAKAMA IFANYE KAZI. MTIKILA NA HUYO MWENZIE WAKATHIBITISHE MAHAKAMANI

WanaJF,
Na mimi pia nina hamu ya kujua ilikofikia "kesi hiyo" nimekuwa nikiisoma kwenye vyombo vya Habari. Anxiously waiting to be served with proper court documents.

Nataka kujua kesi ya utajiri wa mwana wa mkuu wa kaya Rizone imefikia wapi, baada ya magazeti kuandika kuwa ameifungua.

Kipindi hiki ambacho wauza mafuta wamesitisha kutuuzia mafuta wakita faida nono na tetesi zikisema kijana huyu tajari huenda naye ni muuza mafuta na msafirishaji wa haya mafuta.

Swali kwa nini agope kuitwa tajiri kama anabiashara na kipato halali.

Dr. Slaa aliuza swali kuhoji utajiri wa Rizone ameupata vipi, ilikuwa rahisi kwa rizone kusema anavyopata fedha kama ni mkopo au urithi au baba alimsaidia. Ila kijana alisema hata kichehche anachoendesha ni cha bei rahisi, mengine ni mambo ya kimjini mjini.

Ni kawaida kwa watoto wa viongozi wa Afrika kujitajirisha kwa mgongo wa vyeo vya baba zao.

Raisi wa wa zamani wa Misri Hosni Mubarak ana kesi yeye na wanaye wawili kwa kosa la rushwa na kuwaibia wananchi wa Misri.

Raisi wa Libya Muamar Gaddaf anatuhumiwa yeye na wanaye kuwauwa wananchi wa Libya na kuwaibia fedha za nchi yao.

Rais Saddam Hussein wa Iraq alishirikiana na wanaye kuwatesa wananchi wa Iraq kwa kuwafunga na kujilimbikizia mali.

Rais wa zamani wa Zaire Mobutu seseko alishiriki yeye na wanaye kuifilisi Zaire.

Tuhuma hizi zinasikisha sana na kufedhehesha, nilitegemea kijana huyu kusema kuwa ni kweli ana biashara na aeleze wapi alipata mtaji. Kuwa na gari la thamani sio utajiri yeye kama msomi na mwajiriwa anaweza kununua gari au kuwa na nyumba ya kuishi. Kitendo cha kukataa kila kitu kimeleta maswali mengi sana.

Nategemea kesi hii itasaidia sio watawala wa leo tu na familia zao bali watawala wajao na waleo.

Wito: Kama kesi iko mahakamani watanzania wenye mapenzi mema, mliopo popote duniani shirikini kujenga kesi hii ili kuujua ukweli na kukomesha tabia hii kama kweli imeingia Tanzania.

Sina matatizo na utajiri wa mtu yeyote kama ameupata kwa njia halali. Ila tatizo ni kama kuna matumizi mabaya ya kodi za wananchi kunufaisha wachache. Hakuna sababu kuogopa fedha zako kama ni za halali.

Twende kazi.

Nategemea mahakama itatenda haki kwa pande zote.

@Dr slaa

kuna vielelezo vyovyote kuhusu utajiri kupitia ufisadi wa Rizwani? nini mipango ya baadae dhidi yake?

jamani tumechoka maandamano, tufanye kazi kwa maendeleo ya taifa letu changa. Kila siku kuandamana tu, halafu nchi ikidumaa mnaanza kuitupia lawama CCM

Duuh watz bwana! Tanzania ikiwa changa na Sudan ya kusin tuiiteje? Mungu tusaidie, maji tunalazimishwa kuyaita maziwa

Riz-One na hao kina Slaa na Mtikila naona wote ni longo longo, usanii mtupu kama ni kweli basi walau mmoja wapo angeenda mahakamani kwa manufaa ya Watanzania, lakini kila mmoja kimyaaaa. Aaah! nchi hii usanii mwingi sana na kutafuta umaarufu wa kiasa. wengine sisi jamani tumeisha washtukia tunawadharau tu

Jamani FF kama mwanafunzi nenda kusoma! Unachochangia kwenye hii blog hakipo ,aidha brain yako imstack,

jamani tumechoka maandamano, tufanye kazi kwa maendeleo ya taifa letu changa. Kila siku kuandamana tu, halafu nchi ikidumaa mnaanza kuitupia lawama CCM

2fanye kazi 2wachumie magamba? Chenchi ya rada mmeiweka, rich mond, dow-ance, kuna cku nacc tutakuja kulala pale ikulu! We ngoja tu!

Back
Top Bottom