Hakika Lowassa ni mgeni wa sheria....

kama kweli meli inamilikiwa na Ayoub Hashim Jaku basi Lowassa anataka mwanagamba mwenzake asiingie hasara,coz BIMA hailipii uzembe.

mmiliki wa meli ni AYOUB HASHIM JAKU mwakilishi(mbunge) wa muyuni,mkoa wa kusini unguja kwa tiketi ya CCM

Then kazi yake kwisha kuanzia hapo alipo ajiuzuru ubunge tuuuuu iweje yeye kama yeye mwakilishi wa wananchi akiuke mashariti ya usafirishaji watendajiwake wawajibishwe ipasavyo,

Hiyo Meli ni lini mara ya mwisho kufanyiwa service? ni kwa muda gani tokea aimiliki hiyo meli na imeingiza faida kiasi gani ambacho alishindwa nunu ameli nyingine au kuboresha service

Lowasa anaweza kuwa yuko sahihi......... Hebu jiulize

kama meli ni mbovu tangu 2006 kwa nini bima ikubali kuipa kibali
kama hiyo meli ilikataliwa europe kwa 2005 nini hilo shirika lilidhie kuiidhinisha, am sure ilikuwa inalipa bima kubwa kulingana na uchakavu iliokuwanao so bima walipe....

Wanaongezeka tu wamiliki wa meli ya hii :-
1. Makame Hasnuu (Wikipedia) na Google

2. Said Salim Bacwash (Mwananchi).

3. Batashi (JF).

4. Ayoub Hashim Jaku (JF)

Mziki huu mzuri kweli TUNAOMBA TUMFAHAMU MWENYE MELI NI NANI KATI YA HAWA!!!! Mtu mwenye evidence tunaomba msaada wao maana ana maswali mengi ya kujibu kuhusu meli yake.

Kama umelisoma gazeti la Mtanzania la leo ukurasa wa kwanza utaona jitihada za Mheshimiwa MBUNGE wa Monduli Edward Lowassa katika kujaribu kuwa "relevant" katika "political setup" ya nchi hii kwa kujipatia "cheap visibility" pale aliposhauri BIMA iwajibike na ajali ya meli ya Zanzibar...................

what are the pertinent facts on this tragedy?

1) Mwenye meli alipakia watu na bidhaa zaidi ya kipimo na uwezo wa meli............................huu ni uzembe kwa mmiliki wa chombo, SUMATRA, na serikali ya JMT na ya visiwani.................................BIMA hawawajibiki katika ajali za kizembe kama hii........................

2) Sheria za vyombo vya majini ipo wazi kabisa ajali zote zinazosababishwa na uzembe wamiliki kugharimia fidia..........sasa Mheshimiwa Lowassa anatoka wapi kuingiza BIMA kwenye nakisi bandia ambazo ni kinyume kabisa na sheria??????????????????

3) Kama mwanasiasa huyu angelikuwa ni kiongozi makini na ambaye anajali kweli adha za raia angelishinikiza uwajibikaji wa watendaji serikalini badala ya kututupia changa machoni kwa hizi kejeli zake.............katika masuala ya kimsingi kama haya...................

where does this leave Lowassa with his burning ambition to be our CHIEF CEO comes 2015??????????????

He is definitely unfit and totally unprepared with 21st challenges.........bedevilling this nation................and in....................particular when he fails even to grasp such rudimentaries of our own laws which he had personally helped to patch up.......................................

what is your view on this discourse after you have carefully perused the said article on Mtanzania?

Lowassa anaweza kuwa sahihi ikiwa Bima wameikatia insurance meli mbovu kwani walitakiwa kuifanyia due diligence hiyo meli kabla ya kuikatia insurance. Hivyo kosa lao linaweza kuwa ni negligence au kwa jina lengine uzembe.

mwambieni asitufanye wajinga !halafu anavyopenda sifa atakuwa alienda kuhani msiba na ma gum boot,huwa anatembea na gumboot kwenye gari akisikia kuna mafuriko anavaa anakwenda eneo la tukio. Hii ni mwanzo tu! mpeni nchi muone kituko kingine tena

HTML:
Lowassa akinyamaza......utasikia ooh sijui mbona hasemi kama ni kiongozi anayetegemewa baadaye mbona hasemi? Akiongea ooh anaongea Mno! Lol! Hata kama ni layman katika sheria lakini lengo lake lilikua jema kwamba watu wale wasaidiwe! Kweli WTZ sijui ni Taifa lililotoka wapi, Bongo Bwana noma ILA nimekumbuka TATIZO USWAHILI MWINGI/POROJO/LONGOLONGO!!!! RutashubaNYUMA.....uko NYUMA sana na sioni hoja katika thread yako!!!

rep power kwa mwana JF Nali ni zero kwa hiyo sishangazwi na huu upupu..........................

Huyu baba si kwanza ajivue gamba? Anangoja nini? Wanaodhani ni presidential material wanahitaji kichekiwa afya zao hasa ile sehemu muhimu sana

Lowasa anaweza kuwa yuko sahihi......... Hebu jiulize

kama meli ni mbovu tangu 2006 kwa nini bima ikubali kuipa kibali
kama hiyo meli ilikataliwa europe kwa 2005 nini hilo shirika lilidhie kuiidhinisha, am sure ilikuwa inalipa bima kubwa kulingana na uchakavu iliokuwanao so bima walipe....

Kwani bima ndio wanaotoa vibali vya usafirishaji? Tumia Kichwa kufikiria sio Masaburi

wanaojiuzulu kwenye nji hii watahesabika tena huwa
wanatamani hata kujiua wanalazimishwa
wangapi wanafanya madudu(kina ngeleja )
kutudanganya bila hata soni kisha wanapotezea
hajiuzulu huyo!!tena waweza kukuta hilo jahazi si lake
ye mkurugenzi mtendaji tu mwenyewe
yupo katulia
magamba wengi ujanja wao mali wanaandikaga
majina ya babu ,shangazi ,vimada ,yaani ilimradi magumashi tu

Then kazi yake kwisha kuanzia hapo alipo ajiuzuru ubunge tuuuuu iweje yeye kama yeye mwakilishi wa wananchi akiuke mashariti ya usafirishaji watendajiwake wawajibishwe ipasavyo,

Hiyo Meli ni lini mara ya mwisho kufanyiwa service? ni kwa muda gani tokea aimiliki hiyo meli na imeingiza faida kiasi gani ambacho alishindwa nunu ameli nyingine au kuboresha service

asee umeniacha hoiiii
sikutegemea kucheka mida hii

mwambieni asitufanye wajinga !halafu anavyopenda sifa atakuwa alienda kuhani msiba na ma gum boot,huwa anatembea na gumboot kwenye gari akisikia kuna mafuriko anavaa anakwenda eneo la tukio. Hii ni mwanzo tu! mpeni nchi muone kituko kingine tena

Kama umelisoma gazeti la Mtanzania la leo ukurasa wa kwanza utaona jitihada za Mheshimiwa MBUNGE wa Monduli Edward Lowassa katika kujaribu kuwa "relevant" katika "political setup" ya nchi hii kwa kujipatia "cheap visibility" pale aliposhauri BIMA iwajibike na ajali ya meli ya Zanzibar...................

what are the pertinent facts on this tragedy?

1) Mwenye meli alipakia watu na bidhaa zaidi ya kipimo na uwezo wa meli............................huu ni uzembe kwa mmiliki wa chombo, SUMATRA, na serikali ya JMT na ya visiwani.................................BIMA hawawajibiki katika ajali za kizembe kama hii........................

2) Sheria za vyombo vya majini ipo wazi kabisa ajali zote zinazosababishwa na uzembe wamiliki kugharimia fidia..........sasa Mheshimiwa Lowassa anatoka wapi kuingiza BIMA kwenye nakisi bandia ambazo ni kinyume kabisa na sheria??????????????????

3) Kama mwanasiasa huyu angelikuwa ni kiongozi makini na ambaye anajali kweli adha za raia angelishinikiza uwajibikaji wa watendaji serikalini badala ya kututupia changa machoni kwa hizi kejeli zake.............katika masuala ya kimsingi kama haya...................

where does this leave Lowassa with his burning ambition to be our CHIEF CEO comes 2015??????????????

He is definitely unfit and totally unprepared with 21st challenges.........bedevilling this nation................and in....................particular when he fails even to grasp such rudimentaries of our own laws which he had personally helped to patch up.......................................

<b

Mimi nadhani Lowasa yupo ryt kwa hili, kuna ki2 kinaitwa third party insurance ambayo inamlinda abiria, regardles ajali imetokeaje! Isure atamlipa insured then ata deal na aliye7babisha ajali! So Low-hasa yupo ryt kwa hilo! Nawakilisha

Hii Nci yote imejaa ukwasi kila mahali labda tuichome moto kama Niger delta akili zitarudi maali pake!Haiwezekani!

Hivi tukimjua Mmiliki itatusaidia nini hasa hasa zaidi ya kujua tu ni fulani bin fulani; tukishajua nini kinafuata? Mmiliki wa MV Bukoba alikuwa akijulikana kuwa ni serikali kupitia Shirika la Reli; hivi nini kilifanyika kwa mmiliki? Hivi Basi likianguka kwa uzembe wa dereva ama uzembe wa taasisi za kusimamia sekta inakuwaje? Huenda mmiliki ni muwekezaji na yuko ng'ambo anakula nchi na kuna watendaji itakuwaje? Ama huenda mmiliki ni kampuni inayomilikiwa na watu ishirini!! Suala hapa ni kuangalia upya vyombo vyetu vya kusimamia usafiri. Nasikia SUMATRA ilipigwa marufuku huko nchini Zanzibar sijui kama wana chombo chao kama SUMATRA. Kwetu sisi watu wa Tanganyika ni vyema tukahakikisha SUMATRA inafanya kazi vyema ili haya majanga yasijejirudia na kwa nchi ya Zanzibar ni vema nao wakaanzisha chombo SUMATRA yao ili ku regulate huu usafiri.

Tuwe na misimamo, tusikurupuke, yeye lowassa kabla hajatoa ushauri aupime utaleta nini, issue ya meli ni kutokuwajibika kwa wasimamizi wake pamoja na mmiliki , kubebana ndiko kunakosababisha hayo yote. Tanzania tujifunze!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kama umelisoma gazeti la Mtanzania la leo ukurasa wa kwanza utaona jitihada za Mheshimiwa MBUNGE wa Monduli Edward Lowassa katika kujaribu kuwa "relevant" katika "political setup" ya nchi hii kwa kujipatia "cheap visibility" pale aliposhauri BIMA iwajibike na ajali ya meli ya Zanzibar...................

what are the pertinent facts on this tragedy?

1) Mwenye meli alipakia watu na bidhaa zaidi ya kipimo na uwezo wa meli............................huu ni uzembe kwa mmiliki wa chombo, SUMATRA, na serikali ya JMT na ya visiwani.................................BIMA hawawajibiki katika ajali za kizembe kama hii........................

2) Sheria za vyombo vya majini ipo wazi kabisa ajali zote zinazosababishwa na uzembe wamiliki kugharimia fidia..........sasa Mheshimiwa Lowassa anatoka wapi kuingiza BIMA kwenye nakisi bandia ambazo ni kinyume kabisa na sheria??????????????????

3) Kama mwanasiasa huyu angelikuwa ni kiongozi makini na ambaye anajali kweli adha za raia angelishinikiza uwajibikaji wa watendaji serikalini badala ya kututupia changa machoni kwa hizi kejeli zake.............katika masuala ya kimsingi kama haya...................

where does this leave Lowassa with his burning ambition to be our CHIEF CEO comes 2015??????????????

He is definitely unfit and totally unprepared with 21st challenges.........bedevilling this nation................and in....................particular when he fails even to grasp such rudimentaries of our own laws which he had personally helped to patch up.......................................

what is your view on this discourse after you have carefully perused the said article on Mtanzania?

Wewe unajibu kama "assessor" wa bima au nani? Acha shirika la bima husika wapokee madai na kuyatolea majibu

Back
Top Bottom