Recent content by Amanikwenu

  1. A

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz Kugombea Urais 2015????

    Wakuu, Kuna tetesi kuwa RA atajitosa kugombea Urais mwaka 2015. Yangu macho na masikio....
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hiyo Siku Yaja

    Hiyo siku yaja ambapo upendo katika nchi hii utatoweka. Tunakoelekea kama taifa si kuzuri hata kidogo.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Sababu za Marrian Girls ya Bagamoyo Kung'aa!.

    Hakuna cha ajabu kuhusu hao watoto. tatizo kama taifa tumepoteza muelekeo katika elimu. Inatia aibu na kusikitisha sana katika hili. Suala la ubora katika elimu inaonekana ni msamiati mgumu sana kwa serikali yetu. Ni muhimu kama taifa tukatambua kuwa njia iliyobora zaidi katika kugawana keki ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Jumamosi Iwe Siku ya Usafi Nchi Nzima

    Naona kama wazo limeanza kutekeleza japo si kwa kila Jumamosi na pia naona bado umakini unakosekana katika kutekeleza wazo hili.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nikaishi wapi Dar hii, nikimbie hizi foleni?

    Wazo ni nzuri.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Game Theory, FMESS

    Ni kweli hawa watu walikuwa moto wa kuotea mbali.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Mbowe au CHADEMA???

    Umenena Mkuu. Kama una namba ya TiGO nipatie ili nikupunguzie salio.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Bunge kuwaka moto, Kambi Rasmi ya Upinzani Kufutwa?

    Ni kweli JokaKuu. Njia uliyopendekeza itaisaidia sana CHADEMA na wanahitaji kuwa na angalau vipindi maalum kila wiki angalau vipindi vitatu vya saa moja moja kwenye televisheni na redio.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mh Freeman Mbowe, jiuzulu uwenyekiti wa chama

    Mbowe, ushauri wangu bado uko palepale. Ni muhimu sana ukajiuzulu umwenyekiti wa chama.
  10. A

    JamiiForums Tanzania A Parody of Presidential Eloquence - Kejeli ya Umahiri wa Rais katika Lugha

    Hizo bado ni rasharasha.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Maoni ya ulimwengu kuhusu katiba mpya

    Bahati mbaya sana watu hawamjui Ulimwengu vizuri. In short ni Msanii.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete Adai Suala la Katiba Mpya ilikuwa ni Mpango wa Serikali.

    Ni muhimu sana tukaendelea kumchambua na kumfikishia ujumbe.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Spika na Wabunge Wetu: Je Haya Mnayafahamu na Mnaridhika Nayo????

    Ni kweli pia suala la Afya nalo ni muhimu sana na niamini kuwa yote yanawezekana kuyatekeleza kwa pamoja. Tatizo viongozi wetu hawana dhamira na nia ya kuibadilisha na kuiendeleza nchi yetu. Jamani hali ya shule zetu inatisha kupita kiasi.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete ajisafisha Dowans

    Hakuna kurudi nyuma. Mnyika lazima aendelee na mpango wake.
Back
Top Bottom