Kikwete Adai Suala la Katiba Mpya ilikuwa ni Mpango wa Serikali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete Adai Suala la Katiba Mpya ilikuwa ni Mpango wa Serikali.

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Amanikwenu, Feb 5, 2011.

 1. A

  Amanikwenu Senior Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Je hiyo ni kweli? Maneno haya kayasema leo mjini Dodoma.
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,067
  Trophy Points: 280
  Duh, haya bana!
   
 3. n

  niweze JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haha haha haha. Kweli JK kazaliwa kupenda sifa. Kama CCM na serikali yao walitaka Katiba ilikuwa ipitishwe baada ya NEC kumtangaza yeye? au Katiba ya CCM ilikuwa iletwe baada ya Dowans kulipwa? Ujinga mtupu huu..."Sijui kama JK anajua Kazi ya Katiba ni nini"
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 4. M

  Masauni JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Raisi mjinga kama huyu sijui kwa nini wananchi wanamuacha tu anasema uongo. Kwa kweli najisikia kichefuchefu sana juu ya dubwana hili.
   
 5. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Usanii nayo ni fani wakubwa. Ni sanaa kwenda mbele!!! Huyo ndo Mr. President bwana......
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  As if....!!!Anaendeleza tu usanii!!!:horn:
   
 7. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,046
  Likes Received: 3,950
  Trophy Points: 280
  si ndio maana anaunda tume yeye kwa vile ni mpango wa sirikali! na itakuwa ya sirikali!?
   
 8. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,822
  Likes Received: 921
  Trophy Points: 280
  Anafikiri sisi wooote nchi nzima tunalala,tuishi,tunawaza,tunafikiri na kuamua kama yeye!! hawezi kuwa serious kwa mambo mazito yanayosumbua nchi anacheka hata kwa vitu vinavyokera sana kama Dowans!!! ama kweli mswahili ni mswahili tu
   
 9. d

  danilo silva Member

  #9
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kombani na Werema ilikuwaje wapinge katiba mpya? Hawa sio hiyo serikali yake?
   
 10. A

  Amanikwenu Senior Member

  #10
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umenena.
   
 11. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  :twitch:Jamani wacheni kumzungumzia mwendawazimu Kikwete inaelekea wote hamna cha kusema mpaka mnamzunguzia huyu Fisadi. Tuzungumzieni lini tutaanza revolution ya kumtimua huko Magogoni maana amepageuza sehemu ya kufanyia sherehe na ufisadi. :roll:
   
 12. A

  Amanikwenu Senior Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni muhimu sana tukaendelea kumchambua na kumfikishia ujumbe.
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kwa kila kizuri serikali husema cha sisiem
   
Loading...