Inabidi afahamu kuwa na waislamu pia Elimu imewapita kando kidogo, mh rais anateua kwa kuzingatia proffesion ya mtu na sio dini ya mtu anapaswa kutambua hilo.
wala usipate shida. piga konyagi na azama energy drink. ni viagra tosha mziki wake ni masaa 2. na unaweza usikojoe kabisa mpk pombe ipungue mwilini jaribu utanipa jibu.
acha upotoshaji! nani anayemfikiria kafulila jimbo la Kigoma kusini. kila mtu alishamchoka kwa kauli zake na dharau, washikaji zake wote walishamtema kwa nyodo na kutowatambua ndo maana Imidi aliliona mapema akasepa Mika na wengineo ....... wamemfikisha alipo ila yeye akajiona ni zaidi na hata...
Hakuna jipya kwa kafulila nyie mliombali ndo hamumfahamu uku ni kiramba ukoko tu. wakati wa kampeni alikuwa anajitaidi kuonga lakini wananchi walimkataa tayari wakawa wanagomea pesa zake na kumfukuza hivyo yaliyotokea yalibashiriwa toka awali, mfano serikali za mitaa yeye kati ya vijiji 61...
wanajamvi sote jana tulishuudia aliyekuwa mbunge wa Kigoma kusini Ndg. Kafulila akijinasibu kuwa yeye ni mshindi na kwamba anaongoza kwa kura zaidi 2000. naomba nipinge vikali kwamba huu ni upotoshwaji wa hali ya juu na hii yote inayokana na yeye kutambua fika kuwa jahazi linazama. hivyo...
Ukawa kwisha habari yao! ni kama kafulila anavyopotosha umma kuwa anaongoza kwa kura huku akitambua fika. kapigwa kipigo cha nguvu na Iron Lady Hasna S.K.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.