Haiingii akilini; mtu aliyefichua kashfa ya ESCROW ambayo Serikali ilikuwa imekosa kodi, anaangushwa Ubunge ilhali wale "waliopiga" pesa hiyo na kutumia 10m kununua mboga wanashindakafulila alifukuzisha kazi watu wasio na hatia,mungu amempa mshahara wake sahihi,akalime mawese.