Kafulila kutinga mahakamani kutetea ushindi wake!

Kafulila kutinga mahakamani kutetea ushindi wake!

Duh, aisee siamini kabisa kama mbunge kijana machachari huyo, mtetezi wa rasilimali za wanyonge kafitiniwa na JK!

According to Amandonga wa Jf (2015) Hakuna jipya kwa kafulila nyie mliombali ndo hamumfahamu uku ni kiramba ukoko tu. wakati wa kampeni alikuwa anajitaidi kuonga lakini wananchi walimkataa tayari wakawa wanagomea pesa zake na kumfukuza hivyo yaliyotokea yalibashiriwa toka awali, mfano serikali za mitaa yeye kati ya vijiji 61 aliambulia vijiji visvyozidi 5 wakati ccm ikijizolea viti 45, uchaguzi mkuu CCM ina kata 13, nccr 2 na cdm 1, huo ushindi anaupatia wapi. cha zaidi watu walimuonya abadilishe namna ya kujinadi yy hadi vijijini anaubili escrow. ambapo mwanachi wa kata kama ya Igalula hajui hata ni kitu gani, kwa kuwa hakuna alichokifanya kwenye jimbo alikuwa hawezi kujinadi kwa lolote, masela wake wote waliomwwzesha kupata ubunge huo hata kwa kumchangia nguo za kuvaa kipindi hicho wote aliwatelekeza kisa anajiita yeye mbunge wa dunia. akachagua maisha ya mbingu na ardhi kwa kutomthamini mtu yoyote jimboni kwake si raia wa kawaida wala viongozi wa serikalini. sasa wananchi wameamua akarudi kulima. pamoja na kununua baadhi ya wasimamizi na njia za ujanjaujanja alizotumia kapigwa zidio la 1077".
 
Uchaguzi Tz una mambo mawili, kushinda, na kutangazwa mshindi !
 
Nimesikiliza namna mkurugenzi wa uchaguzi jimbo la Uvinza kwa Kafulila (zamani kama Kigoma kusini) alivyotangaza matokeo kibabe kwa kweli nimeumia sana! Alitangaza usiku akiwa peke yake just imagine!! Hata wafuasi wenyewe wa CCM wakabaki kushangaa!!

Kama majumuisho ya fomu Kafulila aliongoza inakuwaje wapindue kibabe? Huu mfumo wa BVR haukutoa haki na Kikwete alaumiwe kwa kupora haki!! Majimbo yote ya upinzani wameshinda kwa jasho kwenye uhesabuji wa kura, why?? Hii nchi haina demokrasia na kutafuta kitu hicho kwa njia ya kura ni kujidanganya!!

Ninashangaa baadhi ya wanajf kuamini kuwa kafulila alikuwa bado anakubalika na wana kigoma kusini, kwanini usifanye research???? tuulizeni wenewe wana uvinza, kafulila kwatu hatumpendi kwa majigambo na dharau zake, hata uchaguzi ukirudiwa leo kafulila anakwenda kushindwa tena
 
Laana ya UNAFIKI.Anajifanya anapinga UFISADI Halafu anaungana na FISADI LOWASSA Anaona watanzania wote MAZUZU.Unaweza kuwageuzageuza utakavyo.Mwenzake KUBENEA UNAFIKI UMEMLIPA.Huyu mpuuzi tu.
 
CCM ni autocratic and dictators...sasa mnaminya haki matokeo yake mtayaona siku moja...watanzania hawawataki mmelazimisha tu na huo ndo ukweli...iko siku mtatoka hata ikibidi kwa upanga

Watanzania wepi mkuu?!
 
Kwa msimamo wa Dr Magu wa kuwashughulikia mafisafi na majizi yote basi mtu kama Kafulila ni silaha kubwa sana kwake hivyo nina hakika atampigania tu kushinda hiyo rufani yake. Lakini lingine la msingi hawa ndg zetu wa Kigoma wanaweza kutuingiza kwenye kitabu cha kumbukumbu cha Guinness kwa maajabu ya kumkataa mfichua ufisadi huku watu waliotuhumiwa kwa kashifa za ufisadi wakishinda kwa kishindo kwenye majimbo yao ya uchaguzi. This is possible only in Tanzania!

Watu wa Kigoma waliona umuhimu wake wakampa Ubunge,ila wenye Vyombo vya Dola ndiyo waliompiga chini
 
Kwa mjibu wake yeye mwenyewe ameshinda kwa tofauti ya kura 2,345. Hata utangazwaji ulifanyika kama surprise kiasi kwamba hata wana CCM wenyewe hawakushangailia! Anadai kuwa mshindi ametangazwa kwa maelekezo ya wakuu!

Ametangazwa mshindi wa CCM!

Anajisumbua tu
Hukuna Mheshimiwa waziri ambaye ameshawahi vuliwa Kiti chake cha Ubunge
mteule huyo ni mh.waziri mtarajiwa
Tujikumbushe ya Mpendazoe and Mahanga
mahakama haziwezi enda kinyume na sirikali
 
Watu wa Kigoma waliona umuhimu wake wakampa Ubunge,ila wenye Vyombo vya Dola ndiyo waliompiga chini

acha upotoshaji! nani anayemfikiria kafulila jimbo la Kigoma kusini. kila mtu alishamchoka kwa kauli zake na dharau, washikaji zake wote walishamtema kwa nyodo na kutowatambua ndo maana Imidi aliliona mapema akasepa Mika na wengineo ....... wamemfikisha alipo ila yeye akajiona ni zaidi na hata wanaomsapoti ni kwa sababu ya dhiki zao tu kama kichwa, Mooza, mnafiki kama Faida Masoud na wengineo wote. yeye ameeleza ni mbunge wa dunia sasa aende kuiwakilisha uvinza kwenye bunge la Dunia na sio la JMTZ wananchi wameshafanya yao. ni hayo tu. tunampa mwaka tu atarudiiiiiii kule alikotokaaaaa.
 
mh haya maajabu ya watanzania...nilifikiri mtu kama Kafulila angepita bila kupingwa....mpaka tuachane na nyumba za matembe na udongo, ni miaka 100 ijayo...
 
1. Bungeni safari naona ni kuchapa usingizi wa pono kwa kwenda mbele
2. Ndioooooo zitakuwa maradufu
Ni vitu vya ajabu sana kwa watu kumshabikia Zitto eti alisema Kafulila arudi bungeni nkisa hakujiunga ACT who is he by the way mbona machali ameanguka
 
Kwa mjibu wake yeye mwenyewe ameshinda kwa tofauti ya kura 2,345. Hata utangazwaji ulifanyika kama surprise kiasi kwamba hata wana CCM wenyewe hawakushangailia! Anadai kuwa mshindi ametangazwa kwa maelekezo ya wakuu!

Ametangazwa mshindi wa CCM!

-------------------------------------


Aibu kubwa
 
acha upotoshaji! nani anayemfikiria kafulila jimbo la Kigoma kusini. kila mtu alishamchoka kwa kauli zake na dharau, washikaji zake wote walishamtema kwa nyodo na kutowatambua ndo maana Imidi aliliona mapema akasepa Mika na wengineo ....... wamemfikisha alipo ila yeye akajiona ni zaidi na hata wanaomsapoti ni kwa sababu ya dhiki zao tu kama kichwa, Mooza, mnafiki kama Faida Masoud na wengineo wote. yeye ameeleza ni mbunge wa dunia sasa aende kuiwakilisha uvinza kwenye bunge la Dunia na sio la JMTZ wananchi wameshafanya yao. ni hayo tu. tunampa mwaka tu atarudiiiiiii kule alikotokaaaaa.

Dua la kuku halimpati mwewe.Chuki za binafsi hizo.Alishinda na ndiyo maana Tume imekaa siku nne ndiyo ije kutangaza???Ninavyoijua Tume ikishinda CCM hata kwa kura moja itatangazwa kabla hata hawajamaliza kuhesabu kura.

Kaka Huyu anarudi Bungeni tena kwa kishindo kikuu.
 
MKUU Tetty bhana yaani chama kimeweka wagombea nchi nzima mnadai ni cha wakigoma TUACHE CHUKI zakuambukizana.

Aliyeanzisha Chuki nani???Je kulikuwa na sababu gani kuanzisha chama kingine??Angeweza kuingia CUF,NLD au hata NCCR.Sasa leo kuna faida gani kuwaondoa vijana wazuri kama Machali na mwenzie yule???Tukubaliane tu alikosea.
 
Chezea ccm ww!

Nadhani hata yeye alikuwa anafanya siasa za kitoto kwa kuwa kabla ya kutangazwa matokeo ilitakiwa zianze furugu za hapa na pale kwa kutumia vijana wake bila kujali hasara za vurugu hizo. Ni vigumu ngamia kupita kwenye tundu la sindano
 
Wajitangaze tuu.ni kama wale waliokuwa wanabeza afya ya Lowasa wakadhani wao wana uzima wa milele .Mungu ajuaye hatima yetu akawachomoa taratibu na kwa uhakika.pora sana haki nawe utaporwa !
 
watu wa kigoma ni kama nyumbu eti zito ndio kawashikia akili mtateseka sana sisi wa mikoa yenye akili wala hatuna shida maji mpaka chooni shule kila mtaa nyie nganganieni ccm yenu pamoja na mdogo wake act masikini vijana machamli na yeye akakubali ashikiwe akili na nuru ya chama matokeo yake kaangukia pua kumbe hajui lengo la zito ni kuisaidia ccm
 
kafukuzwa kwenye chama cha wapare, siunaona hata mbatia hakujishughulisha nae, badala ya kuoa mchagga yeye kaoa mnyiramba, haoni mwenzie wenje aliyeoa mchagga wanampigania kufa na kupona.

...itakua kuna mchaga alimlala mamak.!!
 
Think big, waliompa kura ni 32,000 na mpinzani 33,000 (approx values). So hao wote 32,000 matusi hayawahusu?

mkuu kafulila hakuwa mtu wa ku struggle ki hivyo kuingia bungeni!! wasome hawa chini....kisha uniache na ku think kwangu low!! hata kama utawakosea vipi wako watakaokupa kura tu!

kafulila kuna mahali alikosea na yeye anajua vizuri! mnamlilia yeye anajua kachemsha wapi


Hakuna jipya kwa kafulila nyie mliombali ndo hamumfahamu uku ni kiramba ukoko tu. wakati wa kampeni alikuwa anajitaidi kuonga lakini wananchi walimkataa tayari wakawa wanagomea pesa zake na kumfukuza hivyo yaliyotokea yalibashiriwa toka awali, mfano serikali za mitaa yeye kati ya vijiji 61 aliambulia vijiji visvyozidi 5 wakati ccm ikijizolea viti 45, uchaguzi mkuu CCM ina kata 13, nccr 2 na cdm 1, huo ushindi anaupatia wapi. cha zaidi watu walimuonya abadilishe namna ya kujinadi yy hadi vijijini anaubili escrow. ambapo mwanachi wa kata kama ya Igalula hajui hata ni kitu gani, kwa kuwa hakuna alichokifanya kwenye jimbo alikuwa hawezi kujinadi kwa lolote, masela wake wote waliomwwzesha kupata ubunge huo hata kwa kumchangia nguo za kuvaa kipindi hicho wote aliwatelekeza kisa anajiita yeye mbunge wa dunia. akachagua maisha ya mbingu na ardhi kwa kutomthamini mtu yoyote jimboni kwake si raia wa kawaida wala viongozi wa serikalini. sasa wananchi wameamua akarudi kulima. pamoja na kununua baadhi ya wasimamizi na njia za ujanjaujanja alizotumia kapigwa zidio la 1077.

wengine hawajui hili!

Tujikumbushe ya David Kafulila.

"Watu wa Kigoma hamna sababu ya kuanzisha chama chenu (hili lilikuwa dongo kwa ACT) Watu wa Kigoma bora muanzishe michikichi na mawese"

Alihamdulillah Kigoma Kusini tumempiga chini tunataka awe mwenyekiti wetu wa michikichi na mawese.

yaani iliuma sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom