Recent content by am me

  1. am me

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naombeni mnieleweshe odds euro handicap zenye kutoa magoli kwa timu moja na over na under
  2. am me

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    dahhh..... top ten ni private schools tupu
  3. am me

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Dr. Mwaka, watu wachache wanatumia kisingizio cha kutumbua majipu yasiyo majipu

    :A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
  4. am me

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Tatizo la kujieleza kwenye usaili wa kazi

    Hili jibu lako mkuu limekaa poa
  5. am me

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

    Co kosa lake utumwa wa umagharibi na kuiga iga ovyo ndo vinamtafuna. Hamjiulizi wakat anahojiwa akajifanya hajui kiswahili vzr
  6. am me

    JamiiForums Tanzania Mapenzi utata, naomba umshauri huyu dada

    Ivi kwanza ushajiuliza huyo uliepotezana nae mda wte huo alikuwa anamaisha yap? Unaweza ukakurupuka ulipotilizwa kumbe unakimbilia moto kwa ujinga kua bado mnapendana
  7. am me

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    watoto wa mbwa......
  8. am me

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 unayoyafanya yanayo haribu figo lako mwilini

    sidhan kama kuna dawa tamu, mara nyingi dawa huwa na uchungu na kwa afya yako itabidi tu uweze tu.
  9. am me

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    vilaza nchi hii ndo wanamadaraka
  10. am me

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume Tu

    watu wazima hawatongozani
  11. am me

    JamiiForums Tanzania MTANI JEMBE::Simba vs Yanga

    kiiza kazi haijamshinda pale jangwan angalia mzunguko uliopita kacheza mechi ngapi na anamagoli mangapi? Utapata jibu
  12. am me

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Meli ya Tanzania iliyobeba unga wa Sh. Bilioni 123 yazua kizaazaa nchini Italia!

    wakishatusua dili kama hizi mifuko yao imeshatuna,utawasikia sasa oohhh....uchumi wa tanzania umeimarika...mara unakua kwa kasi.....
  13. am me

    JamiiForums Tanzania Mzee Mangula kufunga ndoa na mwalimu kesho...

    kwan hiyo shule anayoongoza huyo bi harusi mtarajiwa n ya mheshimiwa?? Kama ndivyo nina wasiwasi na namna alivyopewa hicho cheo
  14. am me

    JamiiForums Tanzania Maandamano Tunduma tena kuhusu kuchinja nyama

    jaman n bora vurugu za kikabila kuliko za kidini aseee
  15. am me

    JamiiForums Tanzania SUMATRA watangaza ongezeko la nauli, kuanza kutumika Tarehe 12 Aprili 2013

    kazi kupandisha nauli tu wakati mibasi yenyewe mibovuuuu.... Hzo barabara sasa!???
Back
Top Bottom