Mapenzi utata, naomba umshauri huyu dada

Ivi kwanza ushajiuliza huyo uliepotezana nae mda wte huo alikuwa anamaisha yap?
Unaweza ukakurupuka ulipotilizwa kumbe unakimbilia moto kwa ujinga kua bado mnapendana
 
Kulikua na wimbo Enzi za zamani una maneno haya, " nimeachwa na mume wangu , nimekwenda kwa rehani eeeee baada ya muda si mrefu kasema niondoke sina tabia nzuri eeee". Sijui kuna ukweli kwenye huu wimbo
 
Nakumbuka maneno ya lara 1marriage is a highly an hypocrisy institution
The girl was married because wanted to get married she forgot wanting to get married isn't the reason to get married

Eti aliolewa kwa kuwa 1.mwanaume anauwezo!
Ss km pesa ndo kila kitu kilichomchosha ni nn?

Kila cku tunasema pesa sio kila kitu!

2.alichoka kukaa nyumbani!
Hili ni tatizo
 
Last edited by a moderator:
Tamaa zako zakufwata hela zimekuponzi uvumilivu F.....talaka with what reason unakumbuka ulivyo apa kanisani/msikitini nini kita wa tenganisha?
 
Kuna umuhimu wa kumiliki silaha...
watu kama hawa, wasiojua nini maana ya maisha wanazidi kuongeza CO[SUB]2[/SUB] na CO..!

Hahaha....Silaha Ya Nini Mkuu,Maana Ukiua Utaishia Jela
 
Back
Top Bottom