Kuna mtu hapa JF aliwahi kusema Raisi KIkwete ana majini yanayotaka damu za wananchi,hivi naanza kuamini kuwa ni kweli swala hili alipaswa kuliweka vizuri juzi alipohutubia taifa hivi kweli anadhani bila nguvu za ziada za kimapatano kuwapatanisha wakristo na waislamu lazima inaweza,hivi mbona yeye anachukulia vitu vizito vinavyoweza haribu tunu yetu kama upepo utapita.
Nchi nzima tayari kumekuwa na mganyiko watu wanachinja na nyama zinauzwa makanisani anadhani hilo litapita bila kuweka mapatano. Tunduma ina wakristo robo tatu ya wakazi leo uambie hawana haki ya kuchinja unataka amani kweli, nguvu ya dola haijawahi kushinda hili la nyama litaleta mtafaruku mkubwa nchini.
Nani amwambie Raisi Kikwete aache kucheka na akina Ruto huko serengeti arudi aweke sawa hili la nyama. Kikwete hatutaki wewe uhalalishe vurugu kwenye nchi yetu. Kikwete mbona umeutafuta uraisi kwa miaka 10,na una miaka saba madarakani ni nini kinakushinda kuipatanisha jamii ikawa moja wewe unainjinia jamii itawanyike.
ikwete wewe ni hatari sana ,nakuweka kwenye maombi pepo la ubaya ulilonalo likutoke.
Kujitambua ni sehemu muhimu sana kwa binadamu, na kujitambua ni pamoja na kufahamu lipi la kweli na lipi si la kweli kwenye yanayosemwa.... Ukiona mtu kwenye ukweli yeye analeta uwongo, basi jua kwamba mtu huyo hajitambui na wala hatambui mazingira yanayomzunguka
Hii dhana ya nani achinje inatoka wapi?mbona tumekuwa tukiishi kwa Aman na upendo kwa vizazi na vizazi toka huu ustaarabu wa dini ulipoingia Afrika,,,!!!! Ni nani kaanzisha hii ***** *****? hivi wakristu leo ndio wamegundua kuwa wanatakiwa kujichinjia? na waisilamu leo ndio wamegundua kuwa wakristu huwa wakati mwingine wanajichinjia?
NI UPUUZI KUPIGANA KWA SABABU HII YA KIPUUZI TENA KWA USTAARABU AMBAO SIYO ASILI YETU,,!!WATANZANIA TUNAHITAJI KUBDILIKA,KUNAMAMBO MENGI YAKUPIGANIA KAMA UJINGA,MARADHI,HUDUMA ZA AFYA NA UMASIKINI...SIO KUCHINJA!
Daaaaaah..!Baada ya kuvuruga ndoa za watu,sasa walokole wameamua kuwaruga watanzania wote kwa kuja na kauli mbiu ya uchinjaji!
wacha Ujinga huo anzibar kuna waislamu 98% na bara mnalazimisha kujenga kwenye Makanisa kwenye ardhi ya waislamu kwa nguvu na wakiamua kuyavunja nchi nzima inatikisika kwa porojo na kelele kwenye magazeti ya Tanganyika. La msingi nia kuvimiliana na kufuata utaratibu uliokuwepo kabla na ulikuwa hauna matatizoHivi nimedokezwa tena kuwa mkuu wa wilaya amewaambia maaskofu kuwa japo Tunduma waislamu ni 1/8 ya wakkristo wote lakin wao ndio watakao endelea kuchinja na kwamba amri nyingine naye hana mamlaka nazo sababu zinatoka juu.
MY TAKE; anamaanisha nini hapo kwenye red?
Kaazi kweli kweli,nasikia tayari msikiti mmoja ushapigwa moto,waislamu wanalilia buku tano tano za kuchinja kwa kila ng'ombe.