Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,138
Last edited by a moderator:
Hivi kuna watu wanawapenda wanawake kwa namna ya ugumu au wepesi wa tongozo???
Shem miye sioni connection atii...
Acha kutafuta sifa za kijinga mbele ya mademu wa mitandaoni kaka. Alafu warembo wenyewe unawaita shem. Wenzio wanajimegea kiulaini ww umekazana mbele ya Keyboard yako shem-shem-shem. Ebo, siku nyingine usipindishe mada ya thread za watu kafungue ya kwako.
Mi ninauhakika ww darasani umejitahidi sana ulikuwa unakuwa wa pili kutoka mwisho huku wa mwisho akiwa hakufanya mtihani. Soma mada kwa umakini next time. Umburula kwenye thread za watu hautakiwi.
Hivi wewe Pimbi una akili kweli? Wewe utakuwa ulifeli chekechea alafu hukuendelea tena umejifunza kusoma na kuandika Ukubwani. Hadi ukatongoza ni kwamba umeshapenda, sasa swali ni kuwa ukimtongoza huyo unayempenda unafurahia aki behave vipi?
Mazuzu mengine bwana kwahiyo wewe ulifikiri mi nasema Tongoza alafu ndiyo ujue kuwa unapenda au lah? Jitahidi kuficha Upumbavu wako mbele ya kadamnasi kaka.
Unakaa nyagwa Maskni Wa Akili??
Hasira zote za nini mtoto wa kiume, sema kama unataka dafu uchokolewe, muwa ukatiwe, koni uilambe au samvu la kopo upakuliwe???!!!
Maneno ya mitoto iliyokulia Uswazi utayaona tu.
Acha kutafuta sifa za kijinga mbele ya mademu wa mitandaoni kaka. Alafu warembo wenyewe unawaita shem. Wenzio wanajimegea kiulaini ww umekazana mbele ya Keyboard yako shem-shem-shem. Ebo, siku nyingine usipindishe mada ya thread za watu kafungue ya kwako.
Mi ninauhakika ww darasani umejitahidi sana ulikuwa unakuwa wa pili kutoka mwisho huku wa mwisho akiwa hakufanya mtihani. Soma mada kwa umakini next time. Umburula kwenye thread za watu hautakiwi.
Wa uswazi tuna nini mkuu????!!!!!
Unapoishia uhuru wako ndio unaanzia wa mwingine mkuu! !!!!!!
Acha masuala ya ku judge watu kwa maeneo yetu!!!!!!
Mmmmm mbona umemjibu kama mnafahamiana siku nyingi au mna bifu! Sioni sababu ya majibu makali hivi Mkuu!
Bila shaka mnamgombea Heaven on Earth hahaaaa.....
Heaven on Earth ndo nani mkuu?
Maharage ya mbeya ndo mpango mzima hakuna usumbufu,mnamalizana kila mtu na hamsini zake,no streas at all
Malkia wetu hapa MMU Mkuu!