Nabado tu huyy kiduku atahangaika Sana ili nchi iwe super power ni kazi ngumu kumiliki modern war apparatus ( nyenzo za kisasa za kivita) haimaanishi wewe una power tiyari Kuna kitu kinaitwa kura ya turufu( veto) hii ukishaipata nchi yoyote unaiwekea wikazo isipokuwa hizi nchi ndio uwezi kamwe(...
Mimi nakumbuka siku nilipompiga mdada kwa kunizushia masuala Fulani kumbe sikujua alikuwa awala wa marine force , Sasa akaenda kunishtaki kambini kwa huyo jamaa yake daah! Si muda nimesiti geto napika ugali wangu nasikia ghafla! Ndio huyu hapa huyo mdada akiwaonyesha hao masoja watatu aliokuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.