Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,978
- 103,352
Bavicha bwana!
Yani selikali ifanye maamuzi sababu ya Lisu?
2020 mtakuja tena kulalama hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ilifanya kwenye risasi?
Bavicha bwana!
Yani selikali ifanye maamuzi sababu ya Lisu?
2020 mtakuja tena kulalama hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo siasa mnazijua kutoka ufipa tu,nadhani humjui Prof Kabudi,kwa taarifa yako Prof.Kabudia ni mwanadiplomasia mbobezi,kwanza alikuwa mwandishi wa habari kama walivyo akina Mwakyembe,Ulimwengu,Mkapa na wengineo,baadaye akawa katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Afrika kule Algeria ambako ndiko kulikuwa makao makuu ya Umoja wa Vijana wa Afrika alimrithi Jenerali Ulimwengu ambaye alikuwa hataki kuondoka huko Algeria ,Jenerali Ulimwengu alipoambiwa arudi aligoma na ikawa songombingo na hatimae akawa hana jeuri ikabid arudi,kwa hiyo kama ulikuwa hujui hiyo nafasi ilikuwa ya kidiplomasia,ushauri wangu kwa watoto wa jana kama hujui jambo jitahidi basi hata kujua historiaya huyo mtu unayetoa comments zake,bahati mbaya udaku na upofu wa mahaba yenu kwenye ile SACCOS ya Kaskazini kumewafanya mshindwe kufikiri,mnasubiri afikiri kwanza Mbowe,Lissu ,Fatuma,Maria,Lema ndio na nyie mupaze sauti
Subir mkuu utasikia tena wizara inatakiwa kuwa na mawaziri wawil KATIBA NA SHERIA ndipo mtakapojua kuwa hatuna mtu.......Mahiga mtu makini sana, issue ya lissu anajua ni ndogo sana kwa serikali kuanza kujibizana. Hajaongea kabisa.
Pili kama kuna nia ya kumdhuru lisu, Mahiga hawezi kufanya kazi hiyo hata kwa pesa, ni wazee wachache sana walio fundishwa na nyerere juu ya uadilifu.
Tatu Mahiga sio mtu wa kuendeshwa, anafanya kazi kulingana na taratibu za kazi.
Huyu mlopokaji sijui atawasomea zaburi wazungu walete pesa za makinikia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Even.perdiem?ur not seriousI didn't expect anything from Palamagamba.
haaa wewe noma kabisaUkiwa na blenda ya kusaga juice tu tayari wewe una kiwanda kwako ,kwahiyo tembea kifua mbeleee hata Mimi ninacho kiwanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana hajashindwa, bali yawezekana alikuwa anapambana diplomatically kitu ambacho kama mtu sio diplomat hawezi kuona.Inawezekana Mahiga ameshindwa kupambana na Lissu.
Je, makinikia?I didn't expect anything from Palamagamba.
Kauli ya waziri wa mambo nje ina beba ujumbe mzito kimataifa kwa siasa za wenzetu ambapo inachukuliwa baraza la mawaziri lina lugha moja na kila waziri ni msemaji rasmi wa wizara yake kwa kitu kilichoafikiwa na wote.Yawezekana hajashindwa, bali yawezekana alikuwa anapambana diplomatically kitu ambacho kama mtu sio diplomat hawezi kuona.
Mara zote WANASIASA MAKINI huwa hawajibizani na WANAHARAKATI kama Tundu Lissu;wanamuacha aendelee na UNAHARAKATI wake mpaka siku atakayoingia na kugeuka kuwa MWANASIASA. All the best MWANAHARAKATI!Kumbe ni kweli harakati za lissu zinamyima Amani mfalme mwenye gadhabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu soma ulichokiandika kwanza maana naona ulichoandika hakiusiani na ulichomaanisha kwa hiyo wewe ndiyo mwanasiasa makini teh teh tehMara zote WANASIASA MAKINI huwa hawajibizani na WANAHARAKATI kama Tundu Lissu;wanamuacha aendelee na UNAHARAKATI wake mpaka siku atakayoingia na kugeuka kuwa MWANASIASA. All the best MWANAHARAKATI!
Umakini kwenye lipi? Kudanganya umma wa Watanzania?
Umakini upo kwenye kupekua matako ya Baba yako..... Utasemaje kudanganya umma wa wa-Tanzania wakati unaona Korosho imenunuliwa... Mdomo mbaya kama **** ya Fisi.