Sitasahau siku nilipoingia matatizoni na mamlaka ya kiserikali bila kutarajia

Stori ya kitoto, ulifanikiwa kufika ulikokuwa unakwenda yaani Kyle ulikoitwa kwa mtu usiyemfahamu na majeraha yako naye akakupokea! Ukajiuguza mpaka ukapona kisha ukanunua chips! Ukachagua nguo ulizokuwa nazo sijui ulizipataje na kipigo ulichokipata na mbio ulizotimua, au tulikuwa umevaa nguo nyingi? Pamoja nakutoka damu nguo ulizovaa hazikuchafuka!
Asante kwa stori ya kitoto.
 
Ila kwenye pingu hapo kuna uwalakini mkuu yani walikufungua pingu kabisa??bila hata kukufunga mikononi
 
Stori ya kitoto, ulifanikiwa kufika ulikokuwa unakwenda yaani Kyle ulikoitwa kwa mtu usiyemfahamu na majeraha yako naye akakupokea! Ukajiuguza mpaka ukapona kisha ukanunua chips! Ukachagua nguo ulizokuwa nazo sijui ulizipataje na kipigo ulichokipata na mbio ulizotimua, au tulikuwa umevaa nguo nyingi? Pamoja nakutoka damu nguo ulizovaa hazikuchafuka!
Asante kwa stori ya kitoto.

Hakuna ulichoelewa, kama ungesoma vizuri ungeelewa, hizo ni habari mbili tofauti

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haya ndo madhara ya kuangalia mapicha ya rambo katika mabanda ya video

Green tea

Ni kweli kabisa, litakua picha la Rambo mpaka iwe kwenye uhalisia, halafu ikukute wewe, nilichogundua watu hamjaelewa nilichoongea

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii mbona cha mtoto....
Yuko jamaa alikua anakwenda Mbeya. Akaona hiace IT akaomba lifti akapewa. Mbele walikua watu 2 yeye akaingilia mlango wa ubavuni wa Hiace.
Safari ikaanza kumbe hiace ile number ya IT ni geresha gari ilikua imeibiwa.
Kufika checkpoint ya Vigwaza gari ikasimamishwa jama wakakataa kusimama. Polisi nao na defender wakaanza kuwakimbiza. Hiace ilipigwa gia kwenye lami kisha jamaa wakaingia njia za porini. Defender porini ndio kwake. Wakiwa wanakaribia kufikiwa na defender dereva wa hiace alisimamisha Hiace ghafla na wale wezi kila mmoja akatokea mlango wake na kuingia porini. Kila mtu upande wake. Mwomba lifti mlango wake ni wa ubavuni hakuweza kutoka fasta wala ule mpango wa kusepa hakushirikishwa. Polisi wakaja wakamkamata kama kuku anae atamia mayai. Ilimchukua jamaa zaidi ya mwezi pale central Dar. Ila alipotoka alikua hawezi kusimama wala kukaa. Mateso aliyopata central ameapa Bora kufa kwa risasi kuliko alichokipata.
 
Mimi nakumbuka siku nilipompiga mdada kwa kunizushia masuala Fulani kumbe sikujua alikuwa awala wa marine force , Sasa akaenda kunishtaki kambini kwa huyo jamaa yake daah! Si muda nimesiti geto napika ugali wangu nasikia ghafla! Ndio huyu hapa huyo mdada akiwaonyesha hao masoja watatu aliokuja nao duuuh! Nilihisi akili imeyeyuka ila nikajua mi kidume kudadeki ndani ya sekunde zero zero nipata plan B ya ajabu na hapo kumbuka napanga hayo ndani ya ubongo ikiwa bado nimekaa na jamaa wanaekekea kunikamata alafu kumbuka wakibugi maanake walinifuata geto . Kiukweli mpaka Leo sikuamini kama Mimi Kama naweza kuwana na ujasiri huo apo pembeni kulikuwa na mawe makubwa mawili ya kushikiza mlango pale ufungukiwapo siunajua nilikuwa nimeketi kwenye ngazi ghafla nilivurumisha jiwe la kwanza kama kuwatishia Hilo jiwe sikuwalenga ila nilirusha kuelekea walipo nikaligonganisha na ukuta wa jirani yangu kwa Kasi isiyo ya kawaida wale jamaa wakawa na hofu kidogo wakasambatika uku wakiinama nadhani walihisi Mimi sio simple Kama walivyo dhani maana walikuja na pingu tu . Mara ya Tena kikarusha jiwe la pili huku na mimi nikitafuta upenyo wa kutoroka Lile jiwe jiwe kiukweli hata Mimi nilijawa na uwogo mno maana nilimlega mjeda kwenye paji la uso Mimi niliona jamaa anaanguka ghafla damu zikichomoka kichwani hapo nakaribia geti la nje tiyari kwa kutoroka akabaki mjeda mmoja mbabe tukifukuzana tiyari kwa kunikamata nafika geti la nje natoa shingo yangu nje haraka s naona slesha ya kufyekea nyasi imesimamishwa karibu na ukuta naikimbilia haraka wepesi wakati huo jamaa ananikaribia Tena kwa spidi ya ajabu na yeye alipo ona nimeshika silaha akasimama gafla nikatishia Kama kumfyeka nikiwa nafanya Kama kujiami jamaa akarudi nyuma Tena akasita nikacheki jiwe jingine Tena nje kubwa nikatupa haraka slesha nikaliokota ile nafanya Kama kumrushia jamaa alirudi mpaka ndani kabisa Tena haraka ndipo fasta nikabana geti kwa nje na chomeko hapo ndio nilifanikiwa kutoroka nilimaliza nusu mwaka naishi mafichoni kwa jamaa zangu bila kurudi geto Hadi msala ulipo Isha yule binti alikuja akahama pale mtaani kwetu hiyo ndo ilikuwa ponea yangu
 
ungewashitaki police.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha kuna trick nimewai kuitumia lockup ikabidi wanitoe kunipeleka hospital kwa kuhofia nakufa kumbe nipo fit kuliko maelezo..
Nilivyofika hospital sikurudi tena lockup zaidi ya kuishia kusign na kusepa zangu mdogo mdogo..
Malizia namimi nimalizie ilikuwaje na nilifanya igizo ganhdi wakaamua kunitoa
Ameshamalizia, tupe igizo lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom