Je, Binadamu ameshaenda umbali upi chini ya ardhi?

Mkuu wakati nikipekua pekua kuhusu hili suala nilikutana na hii picha na waliokuwa wakichimba walikuwa na story nyingi kuna sehemu wanadai wakati wakiendelea kuchimba walikuwa wakusikia sauti za watu wakilia na kuomba msaada huko chini.
Hii ikawa moja ya sabbu zilizo wafanya wakaachana na huo mradi wakiamini huenda huko ndio kuzimu,
Hadithi hiyo pia inanimbusha habari za Mnara wa babeli pale ambapo watu walitaka kujenga mnara mrefu utakaofika mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Picha iko wapi?
 
12km, huko kola penisula ya urusi, miaka ya 70s na ilichukua zaid ya miaka 10 kufikia urefu huo,

lengo lao ni kuchimba mpk wapite earth crust yote, wakachimba walipofikia mita 12,262 walipogundua ndio kwanza wapo robo ya program yao wakafungasha ma mashine zao wakafa.

kumbuka hapa zilizofikia urefu huo ni mashine sio watu, urefu mkubwa kbsa uliofikiwa na binadam ni 2.2km huko georgia, na walishindwa kutokana na joto kali,

kumbk: kila km 1 kwenda chini temp inaongezeka kwa zaid ya asilimia 15, sbb ni nini? Refer to state of thermodynamic equlibrium che&phyz advance level.

hapa napo walipooona joto linawatesa hawakutaka shida na ntoto ya ntu wakafungasha sululu zao wakarudi wakakufa.

Haya njoo futuhi land sasa!!!! Kisima tuuu kikichimbwa yakaanza ktoka maji, njemba zinaacha utasikia nimechimba mpk nimekuta maji, pasipokujua sio yy amekuta maji ila maji ndio yamemkuta yeye.

kaburi nalo likichimba ukikutana na mwamba mtu anatoka half anaanza kusingiziwa marehemuu,
oooh sijui marehemu hakutaka azikwe hapa , mara ooh marehemu hataki kuzikwa leo, mara ohhh marehemu amekasirika, yaani futuhi land kumsingizia marehemu ni jambo dogo sana, ka stail hii hata malaika wataishia kwa wenzetu tuu, au pengine huu ndio uzao wa yuda!
ukija kuangalia huo wote ni uvivuuu.
Mkuu kwann walikuwa wanakufa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu maji hayana uwezo wa kupenya mwamba wa chini ni mgumu kifupi kutoka udongo wa juu maji hayawezi penya kina cha mita mia.
Maajabu haya. Kunavisima zaidi ya mita 200 vimechimbwa vya maji. Migodi ya tanzanite huko merelani zaidi ya mita 300 maji yamejaa. Mimi mwenye ninashimo LA zahabu mita 104, kila siku tunavuta maji ndiyo tufanye kazi.
Bwana mkuu kunakitu kinaitwa faults ( bonde la ufa) yanaenda zaidi ya 1km deep. Leo hivyo theory yako ya maji hayazidi 100 m umeipata wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hayo maji mnayovuta chanzo chake ni kutoka top soil yanadondoka chini kwenye uwazi mliochimba hakuna yanayoweza kupenya mwamba jaribu kuelewa, hiyo rift valey unayosema tambua tayari ni shimo hata maji ya mvua yatafika moja kwa make tayari kuna shimo.

Mm nimeenda 1.2 km, underground mining. Ukiongelea joto, najua unachokimaanisha.
Ni maisha ya kutegea hewa kutoka kwenye compressor + feni
 
12km, huko kola penisula ya urusi, miaka ya 70s na ilichukua zaid ya miaka 10 kufikia urefu huo,

lengo lao ni kuchimba mpk wapite earth crust yote, wakachimba walipofikia mita 12,262 walipogundua ndio kwanza wapo robo ya program yao wakafungasha ma mashine zao wakafa.

kumbuka hapa zilizofikia urefu huo ni mashine sio watu, urefu mkubwa kbsa uliofikiwa na binadam ni 2.2km huko georgia, na walishindwa kutokana na joto kali,

kumbk: kila km 1 kwenda chini temp inaongezeka kwa zaid ya asilimia 15, sbb ni nini? Refer to state of thermodynamic equlibrium che&phyz advance level.

hapa napo walipooona joto linawatesa hawakutaka shida na ntoto ya ntu wakafungasha sululu zao wakarudi wakakufa.

Haya njoo futuhi land sasa!!!! Kisima tuuu kikichimbwa yakaanza ktoka maji, njemba zinaacha utasikia nimechimba mpk nimekuta maji, pasipokujua sio yy amekuta maji ila maji ndio yamemkuta yeye.

kaburi nalo likichimba ukikutana na mwamba mtu anatoka half anaanza kusingiziwa marehemuu,
oooh sijui marehemu hakutaka azikwe hapa , mara ooh marehemu hataki kuzikwa leo, mara ohhh marehemu amekasirika, yaani futuhi land kumsingizia marehemu ni jambo dogo sana, ka stail hii hata malaika wataishia kwa wenzetu tuu, au pengine huu ndio uzao wa yuda!
ukija kuangalia huo wote ni uvivuuu.

Hii ilishapitwa na kisima cha Z44 Chavyo ambacho urefu wake ni 12,376 m
 
Urefu wa ardhi kuelekea chini sisi tumezoea futi 12 za kaburi hizo nyingi nyingine anazijua ibilisi alieko kuzimu
 
12km, huko kola penisula ya urusi, miaka ya 70s na ilichukua zaid ya miaka 10 kufikia urefu huo,

lengo lao ni kuchimba mpk wapite earth crust yote, wakachimba walipofikia mita 12,262 walipogundua ndio kwanza wapo robo ya program yao wakafungasha ma mashine zao wakafa.

kumbuka hapa zilizofikia urefu huo ni mashine sio watu, urefu mkubwa kbsa uliofikiwa na binadam ni 2.2km huko georgia, na walishindwa kutokana na joto kali,

kumbk: kila km 1 kwenda chini temp inaongezeka kwa zaid ya asilimia 15, sbb ni nini? Refer to state of thermodynamic equlibrium che&phyz advance level.

hapa napo walipooona joto linawatesa hawakutaka shida na ntoto ya ntu wakafungasha sululu zao wakarudi wakakufa.

Haya njoo futuhi land sasa!!!! Kisima tuuu kikichimbwa yakaanza ktoka maji, njemba zinaacha utasikia nimechimba mpk nimekuta maji, pasipokujua sio yy amekuta maji ila maji ndio yamemkuta yeye.

kaburi nalo likichimba ukikutana na mwamba mtu anatoka half anaanza kusingiziwa marehemuu,
oooh sijui marehemu hakutaka azikwe hapa , mara ooh marehemu hataki kuzikwa leo, mara ohhh marehemu amekasirika, yaani futuhi land kumsingizia marehemu ni jambo dogo sana, ka stail hii hata malaika wataishia kwa wenzetu tuu, au pengine huu ndio uzao wa yuda!
ukija kuangalia huo wote ni uvivuuu.
Huko Qatar wamechimba mpaka 12,345 meters long

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mkuu maji hayana uwezo wa kupenya mwamba wa chini ni mgumu kifupi kutoka udongo wa juu maji hayawezi penya kina cha mita mia.
Mkuu siyo kweli, tena uko chini kwenye mita 200........! Kuna mpaka mito ya maji inapita. Ukiwa mgodini kadri unavyochimba kwenda chini/deep maji yanaongezeka/ yanaongeza spidi ya kuvujia. Maji na joto ni vitu vinavyoongezeka kadri kina cha shimo kinavyozidi

Sent Using!! Nokia kitochi
 
Mkuu migodi yenu hiyo local ambayo hamuwezi hata kudhibiti maji ya mvua najua hamuwezi nielewa, mie nimepiga kazi bulyanhulu barrick ule mgodi wa underground una kina cha km 1.3 natamani niwapige darasa la hatari bahati mbaya mie mvivu kuandika
 
hayo maji mnayovuta chanzo chake ni kutoka top soil yanadondoka chini kwenye uwazi mliochimba hakuna yanayoweza kupenya mwamba jaribu kuelewa, hiyo rift valey unayosema tambua tayari ni shimo hata maji ya mvua yatafika moja kwa make tayari kuna shimo.
Underground water. Hujawahi kusikia kunamikondo ya maji chini. Pia kunanjia za kuyatafiti na kuyachimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu migodi yenu hiyo local ambayo hamuwezi hata kudhibiti maji ya mvua najua hamuwezi nielewa, mie nimepiga kazi bulyanhulu barrick ule mgodi wa underground una kina cha km 1.3 natamani niwapige darasa la hatari bahati mbaya mie mvivu kuandika
Mkuu. Sikia kunavitu unachanganya vitu viwili. Kunamaji yanaingia mgodi kutokana na vua. Pia kunamaji ya underground. Google underground water. Kawaulize waliokuwa kitengo kinaitwa hydrogeology hapo buli watakueleza source of water in the mine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom