Recent content by Alphanetcom

  1. Alphanetcom

    Naipa Serikali Siku 7, kama Mkuu wa Majeshi hatajitokeza...

    Still i don't believe that, the one i viewed on I.T.V is the real General Mwamunyange, i guess it might be a file video.... Anyway let's wait!!
  2. Alphanetcom

    nauliza kuhusiana na gar aina ya Hammer H3

    Sasa inatumia nini uji au?
  3. Alphanetcom

    Wanaotaka kujifunza lugha ya Kichina, UDSM

    Hiyo figure ya cost ya course imetisha sana.... Japo hujaja na point of correction ili watu wajue bei halisi ni ngapi... Above all mie co mwanafunzi ila ni mjasiriamali ninayependa sana kujua lugha ya kichina. Please nilikuwa nataka kujua mchanganuo kama ni evening class ni kuanzia sa ngapi na...
  4. Alphanetcom

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Please mkuu #mshana_jr add me on whatsApp group... +255655143833. Asante!
  5. Alphanetcom

    Jifunze kichina cha kuongea

    Na mie pia ni mteja wa kutaka kujua kusoma kichina, nipo Dar... Please anyone out there who knows the place where Chinese language is taught, pm mhimu!
  6. Alphanetcom

    Tofauti ya superstar na celebrity

    Wakuu, #Kiluuj na #Mwanga_lutila mmetoa definition moja nzr kiasi kwamba kila mtu atajua vizuri utofauti wa hawa watu. That's how i knew but people were opposing my view!!
  7. Alphanetcom

    Cute sayings and proverbs

    Always winners don't do different things but do things differently
  8. Alphanetcom

    Am not materialistic but I still can't keep a man

    You are still young to start thinking of being a single mother! The best thing is just concentrate on what you have by the time being then other things will follow themselves! Even if i haven't seen you physically, but it sounds you are so beautiful girl that's why even men avoid to step on your...
  9. Alphanetcom

    Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

    Nowadays it is common to find a lady dating a married man while she has her own fiance, Utakuta boy wake anampenda sana ila tatizo liko kene chapaa hawezi kuprovide full budget ya mchumbake akati dem anatembea anaona wenzie wanapendeza wengine wandrive posh cars akiuliza what is the secret behid...
  10. Alphanetcom

    Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

    Ladies always date with a married man juc because, ladies love beautiful and expensive things which their boys cannot afford them. Like it or not... This cannot stop to ladies ever in case they will continue liking luxurious an' posh life!
  11. Alphanetcom

    Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

    Please, naomba mwenye kujua joining instructions ya Loleza girls high school mbeya! If possible please forward me through.... msigwa_alphonce@yahoo.com ama kwenye alphanetcom.am@gmail.com
  12. Alphanetcom

    Namna ya kuongeza nguvu za kiume kwa njia ya matunda

    Iyo tabibu nzr jaman kwa wale wenzangu na mie... Kimoko tyu mara mtu chaliiiii!
  13. Alphanetcom

    Kwa wenye uzoefu wa kuagiza Magari kutoka Japan

    Haina tatizo, we fuata procedures zote kila kitu kitaenda sawa. Utapotumiwa bank details kwa ajili ya kukamilisha payment hapo ndo pressure zaidi make wanakaa cku tatu au nne ndo utatumiwa message ya alert reflection kuwa payment approved! You wait for the copy of Bill of Lading, shipment...
  14. Alphanetcom

    Kwa wenye uzoefu wa kuagiza Magari kutoka Japan

    Invoice huwa inakuja na opt mbili, ya kwanza ni kuisubmit pacpo paytrade... Ya pili inakuwaga with paytrade service.... Gharama huwa inajumlishwa yote humo humo. Maana kene negotiations list kule ndo mtakubaliana bei full pamoja na huduma zingine. Inawezekana ikawa sahv paytrade service...
  15. Alphanetcom

    Kwa wenye uzoefu wa kuagiza Magari kutoka Japan

    Invoice huwa inakuja na opt mbili, ya kwanza ni kuisubmit pacpo paytrade... Ya pili inakuwaga with paytrade service.... Gharama huwa inajumlishwa yote humo humo. Maana kene negotiations list kule ndo mtakubaliana bei full pamoja na huduma zingine. Inawezekana ikawa sahv paytrade service...
Back
Top Bottom