Jifunze kichina cha kuongea

Jifunze kichina cha kuongea

Nataka kujifunza kichina hapa Tanzania nipo Dar es salaam, naomba ushauri tafadhali. Ningefurahi kupata gharama pia.
 
Na mie pia ni mteja wa kutaka kujua kusoma kichina, nipo Dar... Please anyone out there who knows the place where Chinese language is taught, pm mhimu!
 
Naombeni msaada wenu
Msaada wa kimawazo huu hapa.
Njoo Udsm hapa kuna wachina wameteka baadhi ya seminar rooms wanafundishia kichina .

Ama tafuta Google language translator app. Au search tu app ya kujifunza kichina huko playstore.. Chap chap tu unaanza kujua..
 
Nenda pale udsm kuna kitengo kinaitwa confusion institute wanafundisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom