Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

Joining Instructions Kidato cha Tano 2015, malipo na mahitaji ya shule

Natafuta mawasiliano na mkuu wa shule ya matema high school anayemfahamu msaada please namba zangu ni 0787826454
 
Jamani naomba kwa walio soma shule ya secondary Minaki wanisaidie ni vitu gani ambavyo ni muhimu kununua na vipi ambavyo sio vya lazima hata kama shule imesema.
 
Mwenye joining instruction ya biharamulo high school au namba ya mhusika yeyote hapo naomba anisaidie
 
Lulumba sec school Singida vp.. Mpo? Na Lupalilo high school Makete Iringa.. Msaada juu ya hzo shule kwa anaejua!
 
somo tajwa hapo juu lahusika.naomba msaada wakupata mawasiliano ya ifunda tech au joining instruction kwa ajili ya a-level.nashindwa kumuandaa bwana mdogo wangu kwa kuwa sina muongozo huu.

msaada tafadhali
 
wadau naombeni contact za kondoa girlz mfano website yao au namba ya cm ya mtu wa karibu xana kma mkuu wa shule,kikubw nataka kupata join form dg kachaguliwa pale na mda umeenda karibu waanze masomo.
 
wadau naombeni contact za kondoa girlz mfano website yao au namba ya cm ya mtu wa karibu xana kma mkuu wa shule,kikubw nataka kupata join form dg kachaguliwa pale na mda umeenda karibu waanze masomo.

Ahaa.mie nilidhani unatafuta mademu kutoka KONDOA....
 
Back
Top Bottom