Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

Kuna watu akili wamwshikiwa hivyo hawawezi kukuelewa
 
Kweli kabisa mkuu inategemea

Mi kuna ninaowafahamu wanafaidi kuliko hata nyumba kubwa

Labda mapenzi, lakini mambo ya maendeleo wachache sana, kufaidi kwa kimada tofauti na mke. Wenye ndoa wanajua.
 
Ladies always date with a married man juc because, ladies love beautiful and expensive things which their boys cannot afford them. Like it or not... This cannot stop to ladies ever in case they will continue liking luxurious an' posh life!

Ndiyo, sasa kwanini wahangaike wakati watu wakuprovide wapo! Life is too short bwana
 
Labda mapenzi, lakini mambo ya maendeleo wachache sana, kufaidi kwa kimada tofauti na mke. Wenye ndoa wanajua.

Mi namaanisha kufaidi maendeleo siyo mapenzi, labda ndo hao wachache unaosema wewe
 
Jidanganyeni akiwa kwako wako akiwa nje wa wenzako na wanapata manufaa ya kutosha

Sio uwongo ingawa manufaa ya kimada huwezi linganisha na ya mke. Watu wameamka siku hizi
 
hahahahahaaaa...wenye husbands wamechukia haoooo hata hawajasoma vizuri, wamefuraaaa...anywy, kuna mdada namjua aisee anatoka na someones husband, the guy hadi anamsahau mkewe...jamani nyie wanaume nyie, khaaaaa, alafu wanawake wengne dont care, kuna something called "permanent side-chick" aisee nilivyosikia nilipigwa butwaa,and the ladies wanaridhika kabisaaaa, like totally fine with it, mtu hadi kujiita mke wa pili, kha!..this world is full of crazy, greedy people
 
..

Wapo wanaowekeza hadi wanaume wanasahau na kutelekeza familia zao. Wewe hujaona? Kuna wadada wala hawataki kuolewa, wananogewa kuwa michepuko!!!

kweli kabisaaaa, yani mtu anakuwa provided kila kituuu, gari na matengenezo plus mafuta, nyumba na kila kitu ndani,shopping, world travelling, jamaa atapigiwa saa saba usiku na bado atamuacha mkewe na kuenda kwa mchepuko...jamani nyie wanaume nyieeee hm!
 
..walioolewa wanaumia, hasa kama kweli waume zao wanaacha nyumba na watoto ili kwenda kupata furaha na vimada. Lakini wasioolewa ambao wapo kama side chicks wanatizama tu.
Life is not fair, hawa watu wanasanabisha mivurugano katika familia nyingi
 
kweli kabisaaaa, yani mtu anakuwa provided kila kituuu, gari na matengenezo plus mafuta, nyumba na kila kitu ndani,shopping, world travelling, jamaa atapigiwa saa saba usiku na bado atamuacha mkewe na kuenda kwa mchepuko...jamani nyie wanaume nyieeee hm!

Japo mimi nadhani wanaongeza nguvu zingine kuwakamata, pussy alone haiwezi kumkamata mtu kiasi hicho.
 
hahahahahaaaa...wenye husbands wamechukia haoooo hata hawajasoma vizuri, wamefuraaaa...anywy, kuna mdada namjua aisee anatoka na someones husband, the guy hadi anamsahau mkewe...jamani nyie wanaume nyie, khaaaaa, alafu wanawake wengne dont care, kuna something called "permanent side-chick" aisee nilivyosikia nilipigwa butwaa,and the ladies wanaridhika kabisaaaa, like totally fine with it, mtu hadi kujiita mke wa pili, kha!..this world is full of crazy, greedy people

Umeona yani wamepita hivo 👉👉
 
Ndiyo, sasa kwanini wahangaike wakati watu wakuprovide wapo! Life is too short bwana

Nowadays it is common to find a lady dating a married man while she has her own fiance, Utakuta boy wake anampenda sana ila tatizo liko kene chapaa hawezi kuprovide full budget ya mchumbake akati dem anatembea anaona wenzie wanapendeza wengine wandrive posh cars akiuliza what is the secret behid success anaambiwa shost chelewa uliwe... Mtaji umeukalia... We kaa eti unampenda boy wako,mapenzi bongo? Basi naye anaamua kujichanganya. That's the truth, but we have to do something for this.... #Malaika_Mimi
 
Pussy alone is not good enough kumkamata ME kihivyo, you need to have something extra special and very rare when it comes to its availability.

Japo mimi nadhani wanaongeza nguvu zingine kuwakamata, pussy alone haiwezi kumkamata mtu kiasi hicho.
 
Japo mimi nadhani wanaongeza nguvu zingine kuwakamata, pussy alone haiwezi kumkamata mtu kiasi hicho.

you are so right...haiwezekani mtu anaitekeleza familia yake hivyo..ndio maana i usually tell pple ukiona marriage yako mambo yanaanza kuwa magumu, piga goti usali, cz siku hizi mh..
 
..

Wapo wanaowekeza hadi wanaume wanasahau na kutelekeza familia zao. Wewe hujaona? Kuna wadada wala hawataki kuolewa, wananogewa kuwa michepuko!!!

Aisee nimeona lakini nikitathimini naona bado nyumba kubwa ni nyumba kubwa, taking an example wa kale kabinti ka bongo movie kalikofiwa na bwana, we unadhani mume mbona asinunue nyumba huko masakini akaishia kumpangia wakati yeye na mkewe wanamiliki nyumba, ila walikokua wanaelekea angeipata maana wadada Kwa mazingaombwe hawajambo
 
Back
Top Bottom