comfidenc inakuja ukiwa na protection
lakini tanzania hamna protection
boss ni boss tajiri ni tajiri huwezi kumshinda popote
lakini kenya gorvernment unaweza kuichallenge (au kuishtaki) kutumia sheria za nchi
lakini tanzania uoga na vitisho
hapo utaona viongozi wanaweka sheria za kujilinda...
Kumbe Machogo wengine wana roho mbaya kutaka kiwanja cha jirani kiwe chao hiyo ndoto yako utakaa nayo mwenyewe
Na Jk hajashiriki katika mgogoro wa Zanzibar Karume kaunda Katiba mpya ya Zanzibar ambayo inapinga kukaliwa juu ya katiba yoyote ndo maana ccm wakaitisha katiba mpya ili kuuwa katiba...
hiyo itamuumiza makufuli kukosa misaada na hata yeye kusafiri kama 1995 Dr salmin zanzibar katawala lakini alikuwa hawezi kwenda baadhi ya nchi hawamtambui
ZEC ni wakala wa NEC wakala kashakataa. masaa 72 yashaisha :crazy:. Hapo patamu tusubiri matokeo. Dr Sheni anamaliza 2/11/2015. hapo tutajua umuhimu wa Zanzibar kwenye muungano
Je wabunge wa Zanzibar wataenda kuapa
huyo mwandishi katowa maoni yake kusema (even those his goin to win) naona ni ufahamu wa mwandishi bila reseach kasikia habari sehemu...
kuhusu sera ni maoni yake kwamba magufuli kajenga barabara, Lowassa change
hata camera inaonesha mikusanyiko ya chama kimoja ni mzushi tu non sense
tunataka mabadiliko sio sera. kama sera hizi aliekuwa mwanasheria kaweka wazi sheria muhimu za katiba pendekezwa
sikiliza atlist 25 minutes
https://www.hulkshare.com/mahad87/othman-masoud
Who it work that program because pc doesn't take sim card
itasaidia nini (au vipi) kutumia program za simu android za (smart phone) wakati pc haichukui sim card na itafanya kazi vipi sio ?????
Mwenye kuamini Duniani tunapita Viongozi wanawahukumu watu wadogo (wanaowaongoza) lakini kuna Kiongozi wetu ataetuhukumu bila ya kuchagua cheo wala uwezo (mali)
naamini hii ni mitihani ukweli anajua mwenyewe na MWENYEZI MUNGU ila usimuombee mtu mabaya kama hajakufanyia ubaya
MWENYEZI MUNGU...
inawezekama sana elimu bure. wananchi wa ulaya wanasomeshwa bure watu wao na posho wanalipwa. ambayo international student diploma unalipa 20,000 euro. Degree 30,000 euro kwa mwaka kwa nchi kama Ireland ambayo economy yake inategemea viwanda vichache na mifugo. na mwananchi asokuwa na kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.