Funzo: Nilichojifunza leo kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa

Funzo: Nilichojifunza leo kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,469
Reaction score
15,271
Taifa lipo katika Uchaguzi mkuu lakini nimeshangaa baadhi ya vituo vya Television na Redio vimekwepa hotuba za mwalimu na kuziweka zinazowafurahisha wao tuu zile zenye ukweli kama CCM siyo mama yangu haijaoneshwa kwenye baadhi ya vituo.

Kumekua na ukiukwaji mno wa watu kuzikwepa hizi hotuba na kuzikata kwa maksudi hasa zile ambazo zililenga masuala ya Uchaguzi Mkuu mwalimu amekua akitumiwa kwenye masuala ambayo yanafurahisha kikundi fulani pale anapotoa kauli chungu wamekua wakimbeza.
 
Back
Top Bottom