Mwakapicha
Member
- Sep 8, 2013
- 70
- 15
wako sahihi, tukijisahau kwenda na kalamu zetu pamoja na kukunja karatasi kwa nje, Watashinda, bcz karatasi hizo za kura zimetengenezwa south, kwa advanced technology.
Afrika Kusini wamesema Dr.Pombe Magufuli anaongoza mpaka sasa hivi na Lowasa atashindwa uchaguzi!
Kama mgombea wao tu anasema congregation badala ya conglatulation, anasema l m a politicianS, unategemea nini kwa wafuasi wake?????? Elimu, elimu,elimu sikumwelewa Lowasa ila now naelewaHawajasema hivyo sikiliza vizuri hayo mahojiano.
Afrika Kusini wamesema Dr.Pombe Magufuli anaongoza mpaka sasa hivi na Lowasa atashindwa uchaguzi!
Mkuu nasikia Barbarosa nayeye ana PHD.
Hata KANU wakati inaanguka ilikua hivi maneno meengi!! Lakini hawapo leo.
Wao ndyo wapiga kura? Ccm mbona mnalialia sn
"I am a politicians" " I don't want to talk this time as saying so many political ......."
"Simple and clear is only congregations to you"
Ni shiiida, kipaumbele No 1. Elimu, kipaumbele No 2. Elimu, Kipaumbele No 3. Elimu!
Mtaendelea kuwaza hivohivo miaka yote!
Waandishi wa habari wanaojadili sio watanzania! Ripota anaetoa taarifa ni mkenya na anatoa taarifa akiwa Nairobi. Anaesoma habari anatokea na pia yupo South Africa! Ni nani kati yao ana kichinjio?!!!!
[h=2]'' Lowassa will never win says South Africa ''[/h]