Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,888
- 7,038
Rejea swali hapo juu,naombeni Msaada wenu wakuu.
Mkuu mbona swali lilishajibiwa na wadau Hapo juu Kwamba ni First Gentleman. Na kwa nyongeza mkuu wa nchi akiwa na mwenza wake (awe mwanaume au mwanamke) kwa uwili wao wataitwa First couple na pia familia ya mkuu Wa nchi uitwa First Family.