Maalim Seif: Mimi ndio Rais wenu

Maalim Seif: Mimi ndio Rais wenu

mgogorowa zanzibar maalim ndio shidaaa, kila uchaguzi amekuwa akijitangaza yy ni mshindi hata kabla ya matokeo, na hizi chokochoko anafanya kuna kitu anatafuta ili azushe mgogoro ambao mara zote huwa unamnufaisha yy binafsi. Maalim sasa apumzike tu siasa maana siasa za aina yaje za kutengeneza sintofaham zimeshapitwa.
 
Kama kura za rais wa muungano zilizopigiwa Zanzibar, zilikuwa ni halali, basi JECHA aache upuuzi wake wa kufuta uchaguzi wa Zanzibar. Niliwadharau sana CCM baada ya kugundua kuwa wanawatumia akina KOVA kuendelea kutawala kimabavu!
 
Maalim Seif alivuruga na kuiba kura za Rais wa znz tu kwan alijua hata akiiba kura zote za znz laki tano akampa Lowassa bado asingeWeza kushinda.Mkibisha sana basi tutasema Kura zote za ZnZ tumpe Lowassa bado litabaki gep la kura Million moja na ushee!!

aaa nenda wewe! mmekamatwa na makura feki kila kona ya TZ TENA si kwa kisanduku kwa malori alafu unasema mna kura za kuwa na gep nyie mmelazimisha haya twendeni tuone lkn msijisifie mlikuwa na kura za kushinda na kuhusu znz bora ukae kimya huna unachokijuwa siasa zetu za kiafrika hatushindani kuleta maendeleo ya wananchi tunashindana kupata madaraka ili tule nchi ndio maana ya haya yanayo tokea lakini

mwisho wake nchi mtaimaliza.
 
Dr. Shein ni Rais wa awamu ya 7, awamu ya Tano ilikuwa ya Dr.Salmeen. Kura kuibiana wameibiana wazanzibari wenyewe, kupigana wamepigana wenyewe, kufuta wamefuta wenyewe msihamishie matatizo yenu huku!! Mkisaidiwa kutawaliwa hamtaki, mkiachwa kujitawala mnapigana, mnafuta matokeo, mnajitangazia ushindi n.k!!! Jk aliwasaidia kuwapatanisha mpaka mkaunda serikal ya mseto mluvyopatana mkajifanya eti mmesuluhishana wenyewe kupitia Nassoro Moyo, Karume na Seif sasa hili linawashinda kitu gani? Zanzibar igeuzwe Halmashauri tu iongozwe na DED iwe chini ya Tamisemi tumalize huu uroho wa Madaraka

Kumbe Machogo wengine wana roho mbaya kutaka kiwanja cha jirani kiwe chao hiyo ndoto yako utakaa nayo mwenyewe

Na Jk hajashiriki katika mgogoro wa Zanzibar Karume kaunda Katiba mpya ya Zanzibar ambayo inapinga kukaliwa juu ya katiba yoyote ndo maana ccm wakaitisha katiba mpya ili kuuwa katiba mpya ya Zanzibar
 
Bora maalim seif..kuliko freeman mbowe na edward lowassa bara wameonyesha ni wababaishaji tu.
 
Last edited by a moderator:
Dr. Shein ni Rais wa awamu ya 7, awamu ya Tano ilikuwa ya Dr.Salmeen. Kura kuibiana wameibiana wazanzibari wenyewe, kupigana wamepigana wenyewe, kufuta wamefuta wenyewe msihamishie matatizo yenu huku!! Mkisaidiwa kutawaliwa hamtaki, mkiachwa kujitawala mnapigana, mnafuta matokeo, mnajitangazia ushindi n.k!!! Jk aliwasaidia kuwapatanisha mpaka mkaunda serikal ya mseto mluvyopatana mkajifanya eti mmesuluhishana wenyewe kupitia Nassoro Moyo, Karume na Seif sasa hili linawashinda kitu gani? Zanzibar igeuzwe Halmashauri tu iongozwe na DED iwe chini ya Tamisemi tumalize huu uroho wa Madaraka

Dhubutu ile ni nchi tatizo lako ni uelewa finyu hujui sheria kazi kupiga domo tuu
 
nashindwa kuelewa kwanini jecha hamtangazi maalim seif kuwa rais wa zanzibar badala yake ameamua kukalia matokeo na kuchelewesha maendeleo ya wazanzibar.
 
Seif ameitoa kali hiyo wapi?

Kama ni kweli ametoa kauli hiyo, CCM watumie mwanya huo kumfungulia mashitaka ili mkwamo upatiwe suluhisho kwa haraka.

kama kweli CCM wanasema maalim katenda kosa, wamfikishe mahakani; na wakishafika huko wasisahau kuonyesha kifungu cha sheria alichokitumia jecha kufuta uchaguzi wa zanzibar pamoja na kifungu kinachomweka madarakani dr shein mpaka leo. mbona hawa CCM wanakuwa waoga kama kunguru?
 
Kabla ya kutoa Amri ya kumkalisha mtu chini jiulize kasimama au kalala huyo mtu? Otherwise utaonekana hamnazo? Kisheria Mwnykt wa ZEC anapaswa kutangaza matokeo ya uchaguzi yaliyo ya haki na huru? Kama uchaguzi umejiridhisha kwa viashiria vyote umejaa kila aina ya dhulma, wizi, uvunjifu wa Taratibu utaacha kuufuta kwa sababu tu hakuna sheria inayoruhusu kuufuta? Ungekuwa wewe ndi Jecha ungemtangaza mshindi hata kama kuna viashiria vya hujuma kwa kuwa tu hakuna kifungu hicho? Mzee Karume kama angesubiri kifungu cha katiba 1964 mpaka keo hii znz ingekuwa wapi?

Yale yalio bandikwa kwenye vituo hayakutangazwa ? Maalim hakujitangaza, alifuatwa na waandishi was habari na kuulizwa juu ya uchaguzi ulivyo kwenda sasa maalim kajibu hoja,kuwa kwa takwimu alizo nazo ambazo zilisainiwa na zec yeye anaongoza, Sara were kama una hoja nenda mahakamani, tume imesitisha uchaguzi matokeo sio kwa sababu ya maalim kutoa hesabu zake, waulize kisonge wanajua
 
Maalim kwa nn aogope kurudia Uchaguzi wakati wapiga kura ni wale wale kama walimpigia kura si watampigia tena? Maalim ni mvunja Muungano kwa Maslahi mapana ya Taifa letu tushirikieni kuilinda Znz kuangukia kwny Mikono ya Adui
Kwa nini CCM wanaogopa kuachia madaraka pale wanaposhindwa kupitia kisaanduku cha kura? Uchaguzi umeshafanyika, kura zimepigwa, zimehesabiwa, matokeo yametangazwa vituoni na majimboni na mshindi kupewa cheti cha utambulisho.Pia kila wakala amepewa nakala ya matokeo.

Hakuna sababu ya kurudia uchaguzi na kufanya ubadhirifu wa fedha za umma kama ulivyofanyika usanii na ubadhirifu wa fedha kwa kukusanya maoni na kuandika rasimu ya Jaji warioba na baadae CCM kufanya uhuni. Kwa nini CCM wanapenda kufanya uhuni?

Kaeni pembeni, wengine wawaoneshe vipi serikali ya wananchi inavyoendeshwa na wao wakifanya ubadhirifu na kuvurunda kama CCM hukumu yao ni 2020.

Waombe CCM Zanzibar wakuoneshe nakala za matokeo ya uchaguzi ujiridhishe kuwa wananchi wameikataa CCM.
 
Kwa nini CCM wanaogopa kuachia madaraka pale wanaposhindwa kupitia kisaanduku cha kura? Uchaguzi umeshafanyika, kura zimepigwa, zimehisabiwa, matokeo yametangazwa vituoni na majimboni na mshindi kupewa cheti cha utambulisho.Pia kila wakala amepewa nakala ya matokeo.

Hakuna sababu ya kurudia uchaguzi na kufanya ubadhirifu wa fedha za umma kama ulivyofanyika usanii na ubadhirifu wa fedha kwa kukusanya maoni na kuandika rasimu ya Jaji warioba na baadae CCM kufanya uhuni. Kwa nini CCM wanapenda kufanya uhuni?

Kaeni pembeni, wengine wawaoneshe vipi serikali ya wananchi inavyoendeshwa na wao wakifanya ubadhirifu na kuvurunda kama CCM hukumu yao ni 2020.

Waombe CCM Zanzibar wakuoneshe nakala za matokeo ya uchaguzi ujiridhishe kuwa wananchi wameikataa CCM.
Haiwezekani tuwachukie wa Znz kiasi cha kumkabidhi Adui awaongoze!
 
Haiwezekani tuwachukie wa Znz kiasi cha kumkabidhi Adui awaongoze!
Adui yako ni shujaa kwa waliompigia kura.
Wewe au mimi hatuna haki au mamlaka ya kuwachagulia wapiga kura nani awaongoze. Wamemchagua shujaa wao na ndiye atakayewaongoza. Au wapiga kura hawana haki ya kuchagua wanayemtaka awaongoze?

Wakati wa DOMOkrasia umeshapitwa na wakati acheni Demokrasia ichukue mkondo wake.

Kwa nini hukumwekea adui yako pingamizi alipokwenda kuchukua na kurudisha fomu ya kugombania nafasi ya Urais?
Au amekuwa adui baada ya kuwagalagaza CCM?

Acheni siasa za kijinga na chuki. Mshindi atangazwe, wananchi wapate kufanya shughuli zao.
 
Maalim kwa nn aogope kurudia Uchaguzi wakati wapiga kura ni wale wale kama walimpigia kura si watampigia tena? Maalim ni mvunja Muungano kwa Maslahi mapana ya Taifa letu tushirikieni kuilinda Znz kuangukia kwny Mikono ya Adui
Huko unakokusema wewe ni kushirikiana kuilinda Zanzibar au kushirikiana kwa ajili ya kulinda maslahi ya kikundi kidogo sana cha wahafidhina ndani ya CCM?
 
Back
Top Bottom