Recent content by Allan Harold

  1. Allan Harold

    Mgombea wa Udiwani CDM Avamiwa

    duuu alafu kuna Mtu atasimama na Kusema kwa sauti Kubwa" Hii Nchi ni nchi yenye demokrasia na amani" Let pray for our nation ,
  2. Allan Harold

    Jeshi la Zimbabwe lakanusha kufanya mapinduzi

    nasikia Yule makamu wake ndio katangazwa Kuwa Rais wa Zimbabwe now...
  3. Allan Harold

    Kagera: Mlipuko wa bomu Wilayani Ngara waua Wanafunzi 05, zaidi ya 45 wamejeruhiwa

    tutazielekeza kulipa malimbikizo ya mishahara kwa madaktari ili waweze kutibu wagojwa kwa ufanisi zaidi
  4. Allan Harold

    Jeshi la Zimbabwe lakanusha kufanya mapinduzi

    ALIWAHI KUMWAMBIA Ban Ki Moon Aende akawaambie hao watu wenye Pua nyeupe Afrika hatutaki Ushoga , na ukamwambie Obama kuwa kama anataka kuruhusu Ushoga bas acha mimi niwe wa kwanza kumwoa yeye" jamaa anajeuri sana aseee
  5. Allan Harold

    Jeshi la Zimbabwe lakanusha kufanya mapinduzi

    Duuu hii inatoa Funzo kwa Viongozi wengine wa Kiafrika ambao wakishapata Madaraka hawataki Kung'atuka na wakitaka Kung'atuka wanataka Kufanya ikulu Kuwa za Familia zao...... Mugabe alisaidia sana Afrika na Zimbabwe kwa Ujumla ila uroho wake wa madaraka umempeleka pabaya ... ilifikia sehemu...
  6. Allan Harold

    Watu wasiojulikana wamvamia na kumkata mapanga dereva wa Mbunge wa Tarime, John Heche

    Jana majira ya saa mbili usiku dereva wa mbunge Mh. John Heche anayejulikana kwa jina la SUEZ DANIEL MARADUFU alivamiwa na watu wasiojulikana na kushambuliwa kwa kukatwa katwa na mapanga kichwani na hali yake si nzuri, anaendelea na matibabu kwenye hospitali ya Bomani Tarime. Ofisi ya Mbunge...
  7. Allan Harold

    Mabandia na vikaragosi kasuku katika enzi za udikteta

    BAADA YA KUSOMA MAKALA HII NA KUPENDEZWA NAYO NIMEONA NI KOPI NA KUILETA KWENU NANYI MUISOME . MWANDISHI NI . Ahmed Rajab ......................................................................................................................................... VIROJA vya...
  8. Allan Harold

    Tundu Lissu: Mtunzi Katiba ya kidikteta CHADEMA aliyegeuka mwigizaji filamu wa kudai ‘’Demokrasia’’

    mbona katiba ya cdm inaeleza ukomo wa kiongozi ndani ya chama ni miaka mitano 5 lakini inatoa uhuru na haki ya mwanachama kugombea tena nafasi hiyo atakapomaliza mhula wake wa uongozi
  9. Allan Harold

    CHEMSHA AKILI

    inaandikwa ( BASHITE )
  10. Allan Harold

    Chemsha akili upate jibu sahihi

    yaani kwanzia 2012 hadi leo hajapata jibu ?
  11. Allan Harold

    Waziri Mkuu aagiza wananchi wasizuiwe kuonesha mabango

    kwani issue ni yeye kuonekena au ni yeye kusikika anachokisema
  12. Allan Harold

    Ijue Sheria ya Ardhi: Taratibu za utatuzi wa migogoro ya ardhi

    nafikiria kupitia mkutano mkuu wa kijiji wananchi wakiibua hoja , wahusika wanawezwa itwa na kuadhibiwa
  13. Allan Harold

    GEITA: Mkuu wa Mkoa amzuia Naibu Waziri kuzindua filamu ya 'Magwangala'

    duu serikali ya kusadikika , eti leo katika serikali ya kusadikika rc ana mamlaka ya kumzuia waziri asifanye jambo ? kupata vichekesho kama hivi tuma nano UKUKU kwenda 1556;);););):D:D:D:D
Back
Top Bottom