Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,735
- 6,170
Sipendi fujo ila hata kama walikua wamepanga kumtoa huyu mzee ningefurahi sana. Mugabe ni tako yule jamaa, ameifikisha ile nchi pabaya sana na hataki kutoka. Wanaomuita simba wa Afrika sijui wana ugonjwa wa akili. Yule ni dikteta uchwara na kilaza.