Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,060
extra mile ahead 2 steps backwardMkuu umekuza mambo, hili ni dogo sana. Inawezekana kweli kila mtu anakuja na mawazo yake halafu wa juu yake anayatengua. Huo ni utaratibu wa kazi wa dunia nzima, hawaongozi malaika bali ni wanadamu, wenye kufanya makosa.
Kwenye suala la mabango, waziri mkuu hajaenda kinyume na rais wake, ni kuelewa tu kwamba pale Tabora kulitokea kutoelewana kati ya rais na mbeba bango mmoja. Lakini kwa ujumla awamu ya tano imejitofautisha na zilizopita kwa kwenda hatua moja zaidi kwenye kuweka ukaribu na wananchi wa hali ya chini.