CHEMSHA AKILI

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
682
652
1ff077f910cc0f558163f238b3acfd9d.jpg

Kuna mtoto ameniuliza swali hapa imebidi nimtume kwanza dukani ili nipate muda na mimi wa kuuliza.

"Eti SIFURI kwa kirumi inaandikwa vipi jamani?"

Yeyote anayefahamu anisaidie tafadhali
 
nimtume kwanza dukani ili nipate muda na mimi wa kuuliza.
HAHAHAHAAAAA POLE BRAH,NADHANI USHAJIBIWA NA MDAU HAPO JUU,NA BILA SHAKA MTOTO KESHAPATA JIBU LAKE.SASA AKIKUULIZA TENA KWANINI SIFURI HAIPO???UMENIKUMBUSHA TANGAZO LA JOTI.HAHAHAHAHAHAAA
 
HAHAHAHAAAAA POLE BRAH,NADHANI USHAJIBIWA NA MDAU HAPO JUU,NA BILA SHAKA MTOTO KESHAPATA JIBU LAKE.SASA AKIKUULIZA TENA KWANINI SIFURI HAIPO???UMENIKUMBUSHA TANGAZO LA JOTI.HAHAHAHAHAHAAA
Tangazo linasemaje mkuu?
 
Tangazo linasemaje mkuu?
lile joti anamwambia mjukuu wake kwamba yeye alikua mkli wa math enzi zake,mjukuu akampa swali joti katoa macho,ikabidi amtume ndani kupeleka gazeti nadhani ili uku nyuma apate mda wa kugoogle.......
 
Back
Top Bottom