Recent content by Alfa Bon

  1. A

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Kamati Kuu ya Chama cha ZANU-PF imemvua Uenyekiti wa Chama Rais Mugabe, Grace Mugabe avuliwa Uanachama

    Ukitumia upanga mwisho utakugeukia Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania First year kuripoti chuo kikuu na tranka ni ushamba au hofu ya kuibiwa?

    Kukuleta chuo siyo issue issue ni kuja na tranka na mfuko wa Rambo wenye kalenda
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa Magazeti hamjamtendea haki Rais wetu mpendwa

    MAGAZETI yapo kibiashara Na habari zinazouzika
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha tatu

    Wewe kimbilia gerezani u
  5. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Watu walizowea kuongezewa mshahara kila mai mosi. Watumishi pambaneni na hali zenu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Probability ya kuoa na kuolewa

    Hakuna 100000%:???
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina juu ya (vyeti) elimu ya Makonda

    Hakuna kitu. Feki itabakia kuwa feki daima Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  8. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwandishi mkongwe na aliyewahi kuwa DC wa Handeni/Morogoro, Muhingo Rweyemamu afariki dunia

    Mungu amlaze pema R.I.P bro. "Hakika Nyuma ya kaburi wengine tunafuata" Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuendelea na ajira ya ualimu serikalini nimeacha kazi

    Naona wewe ni mazingira yamekuchafua. Vipi uliposomea hiyo kazi ulikuwa huelewi fyucha yake? ila ukipata private school kama FEZA ,Na nyingine kama hizo utaona maisha bombaa tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wakati sahihi wa kuanza kufanya mapenzi

    Kiungo cha mwili wako usipokitumia muda mrefu ninkuja kushindwa kufanya kazi vizuri baadaye. Kukaa bila kufanya mapenzi muda mrefu unaloose performance
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ni laana kwa utamaduni wa makabila mengi hapa TANZANIA kula rambirambi...

    Jamani acheni tu. Kula rambirambi ni laana ambayo haitaisha hadi kizazi cha tatu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini rambirambi igeuzwe chanzo cha mapato ya serikali badala ya kodi??

    Utashangaa hata michango ya harusi itafanyiwa hivyo hivyo
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ajali Lucky Vincent School: Uzembe, Tamaa, Ubadhirifu na Kutokujali Usalama wa Wanafunzi

    Sawa Tuache mambo ya magari. KULIKUWA NA UMUHIMU GANI KWA WANAFUNZI KUSAFIRI KWA AJILI YA KWENDA KUFANYA JOINT EXAMS. WANGEWEZA KUTUNGA MTIHANI WAPAMOJA NA WATOTO WAKAFANYA BILA KUSAFIRI.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya kisheria kuhusu mtumishi wa umma

    Je? Polisi, mwanajeshi, TISS, Mbunge, DC, RC sio watumishi wa umma?
  15. A

    JamiiForums Tanzania NECTA wagoma kubadili jina langu. Nina ushahidi wa mahakama kukana jina la cheti cha kwanza

    Weeee sheria inasema ni kosa kutumia cheti cha Mtu.NECTA HAWABADILI MAJINA YA VYETI. YAANI HUO UJASIRI WAKUSEMA TU ULITUMIA CHETI CHA MTU NI HATAREEE NI SAWA NAKUWABIA WATU NATAKA KWENDA KUBEMBEA KWENYE WAYA WA THREE FESI WENYE UMEME
Back
Top Bottom