Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,485
Hapana mchungaji, Bali Nimefurahia comment yakeUnafirahia uzinifu?
Hapana mchungaji, Bali Nimefurahia comment yakeUnafirahia uzinifu?
Umefurahia kwasababu unapenda kuonjesha hovyo hovyoHapana mchungaji, Bali Nimefurahia comment yake
Na bado asiyeonja anataka kujaribu aone inakuwaje.Sipingani nawewe ila ni rahisi kwa yule ambaye hajaonja radha ya mapenzi lkn kwetu sisi tulionja hilo ni gumu sana
Mchungaji tafadhali sana, tusitafutiane dhambi mimi sionji sionjeshi wala sionjeshwi bali nakula daily it's my own property nipo huru sijifichi kwasababu nilitunukiwa mbele ya hadhira.Umefurahia kwasababu unapenda kuonjesha hovyo hovyo
Ikisimama dawa yake ipate mwenzie aimeze sio kuanza kuipepea...dudu imesimama mpk inatoa machozi bado unaibembeleza kwa maneno tu?!..HaiwezekaniKusimama kwa dudu siyo sababu ya kuzini ...ukiwa na uwezo wa kujikontro utakuwa salama zaid
Duuuh [emoji15] [emoji15] mwinjilisti?!!Nimepewa bure kwa hiyo siwezi kupangiwa muda wa kutumia nini maana ya majaribio kwa mwanafunzi?? Ndoa ni kama mtihani hivyo kabla ya kuingia unapaswa ufanye majaribio kadri inavyowezekana
Shkamoo leah2Sipingani nawewe ila ni rahisi kwa yule ambaye hajaonja radha ya mapenzi lkn kwetu sisi tulionja hilo ni gumu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimewataja wao zaidi kwasababu wao ndiyo waathirika wa kubwa na mapenzi kuliko wanaume...
Mimi nilishabadirishwa ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya!
Sijasema hivyo , najua kila upande una sehemu ya kulaumiwa lkn bado haihalalishi upande mmoja kuwa na haki ya kufanya hivyoKwani hayo mapenzi wanafanya wadada wenyewe? Uo msisitizo uuweke pande zote mkuu hata wakaka pia usiegemee upande mmoja.
Nimekuelewa Neybright naomba usinitafsiri vibaya, na hiyo dhambi iepuke tafadhaliMchungaji tafadhali sana, tusitafutiane dhambi mimi sionji sionjeshi wala sionjeshwi bali nakula daily it's my own property nipo huru sijifichi kwasababu nilitunukiwa mbele ya hadhira.
Acha kutetea upande wako mkuu mbona amebalance story?Kwani hayo mapenzi wanafanya wadada wenyewe? Uo msisitizo uuweke pande zote mkuu hata wakaka pia usiegemee upande mmoja.