A Alfa Bon Member May 1, 2017 22 19 May 6, 2017 #1 Je? Polisi, mwanajeshi, TISS, Mbunge, DC, RC sio watumishi wa umma?
Mchizi JF-Expert Member Apr 23, 2009 2,830 6,841 May 6, 2017 #3 Mtumishi wa umma ni mtu yeyote anayelipwa kwa kodi ya wananchi.umma maana yake wananchi. Aanahudumia wananchi.
Mtumishi wa umma ni mtu yeyote anayelipwa kwa kodi ya wananchi.umma maana yake wananchi. Aanahudumia wananchi.
M Manyiri Member Oct 27, 2007 80 15 May 16, 2017 #4 Sheria ya utumishi Wa umma imeelekeza kwamba haiwahusu Jwtz,Polisi Na magereza