Worldboss
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,932
- 3,766
Aisee leo nineamini kuna Segerea, maana ile namaliza kunywa chai tu naona wazee hao(maaskari).
Basi mzee nilizindua njia mpya kwenye bustani ya jirani, speed kama bolt nikakutana na kiukuta nikadunda nikatokea upande wa pili nikiwaacha maaskari na wife wameduwaa.
Jamani member wenzangu hii ishakuwa soo, mniombee jamani kwenye sala zenu nisiishie Segerea.
Hapa nilipo nahisi kufakufa tu.