Recent content by al jinn

  1. al jinn

    Mafundi simu ni wezi wa memory card

    Hakuna fundi simu mwenye njaa ya kuiba kitu kma memory card,huwa zinapotea Tu,memory card Ni kitu cha bei ndoto mno,32gb Ni 18000,
  2. al jinn

    Kipi kilikuvutia kwenye " adventures of taarzan 1985"

    aaaaaaaa aaaaaaqa ahhhh,nakumbuka metropole Arusha,94 hivi
  3. al jinn

    Ni njia gani nifuate nimpate Jini?

    mkimaliza ubishi niiteni
  4. al jinn

    Wanaume wa Rombo hawajui mapenzi

    mkuu wa vilaza ngoja waje!!!
  5. al jinn

    What's the last movie that made you cry?

    best of me pale dowson anakufa halafu amanda ameshaachana na mume wake kisa dawson.nyingine ni the last song ya 2010 yupo miley cyrus ndani hii nayo inasikitisha pia
  6. al jinn

    Ushindi wa Mayweather utata

    waeleze hao team philipines mchezo wa ngumi hauko ivo.myweather ni bingwa wa kweli
  7. al jinn

    All unlock codes here order now 100% money

    lg g2 ya ku unlock sh ngp
  8. al jinn

    Majina ya vijiji vyetu

    Chumvini;jambiani,makunduchi
  9. al jinn

    Taifa la Israel (Wana Israel) Halirogeki?

    Nyie ni wayahudi?au mnawashwa tuu.
  10. al jinn

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Haaahaa haikimbii inapaaaa
  11. al jinn

    Kwanini NASA hawakurudi tena mwezini?

    Uhhh nothing to say
  12. al jinn

    Marekani ina kibarua kigumu Syria

    Mi huwa nawashangaaga nyie raia humu ndani kila kauzi lazima muutaje uislam hebu fwateni yenu..mambo wanayoyafanya hao IS hayakubaliki kwenye uislam pia kama IS ni mpango wa marekani sisi hatujui kwa sababu hatuna ushahidi nayo..
Back
Top Bottom